Naishi kama jambazi sipo huru

Naishi kama jambazi sipo huru

Oya nafanya ujinga wote ila kukopa kaka naogopa sana hasa kwenye hivi vibenki uchwara .

Ni miaka sasa najishauri kukopa huko lakini bado sijaamua mimi mkopo wangu mkubwa ni salary advance .

Lakini walisema kila mbuyu na shetani wake yaani mimi wa kuinywa laki tisa usiku mmoja na demu niliyelala naye jumamosi kumbe ana meno kaweka ya bandia [emoji10]

Aaaagh kila nikiwaza naumia sana yaani kila ninaye mcheki ananiruka mpaka ninaowadai ila usijali bro , napanga ikifika asubuhi sijapata mtu wa kunipa ten ya kunifikisha ofisini basi nitapiga mguu ado ado nitapata lift huko huko njiani .

Huu mkweche naucha hapa bar kaka .

Sema nini pombe raha ni rafiki mzuri sana .
Sure hata mimi mikopo hunitesa sometimes ila nakuwaga najiamini kazi zikotokea site safari zangu night 3 tu zinatosha ku clear gap la mwezi mzima...ila sasa ubaya per diem na zenyewe zinahitajika napokuwa ugenini hivyo lazima nisifanye overspending na pia kazi zitoke sio kama ajily ,August na Sept aisee ni.ekaa benchi mpaka sio poa
 
Umeongea sana MKuu Hadi povu la Omo,ila tatizo ni Wewe na Sio waja,hakikisha umejifunza na upunguze shobo na kiherehere.Kwani lazima ukazuzure Kila mahali?Kwani huwezi Tuliza mbupu ghto!?
Aisee itabidi nizingatie ushauri uzuri nasafiri mara kwa mara hivyo jata nisiponekana watahisi nipo safari tu wala hawasumbui
 
"Sisi ni walevi tunakesha bar, tunatumia hela mpaka jua lianze ng'a, kama pombe we hauwezi, hapa hapato kufaa,

Nenda meza za nzi, kwa wenzako wanaoshangaa"

In LAVALAVA'S VOICE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom