Nairobi Kenya: Mzungu apigwa kipigo Cha mbwa Koko na Security wa Petrol Station baada ya kumwita Nyani mhudumu wa kuuza mafuta

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,537
11,402
Shalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa fimbo kubwa kubwa, kisha katika purukushani alikanyangwa mguu na gari aliokuwa amepanda.

Ni kweli hili ni funzo ila sio kwa namna ilivyotendeka inaumiza sana sana.

Nairobi ni noma sana bonge la kipigo ila yule mzungu inaonekana sio mtu wa kawaida amefanya guard za kutosha

Balaa tupu

Wadiz
 
Hiyo video kitambo sana zaidi ya miaka miwili kama sio 3
 
Ukweli unauma sana, hasa pale mtu akikutania kuwa haujaoga,☹️☹️

Alafu ikawa ni kweli haujaoga, kiukweli lazima ukasirike.. 🤒🤒
 
Lucha hio habari ni very recent na ya kweli kuna video iko viral sana huko Nairobi mzungu kachezea sana kichapo
Kunayo moja niliiona mwaka jana au juzi siyo hiyo kweli?
 
Hapo si Nairibi ni nchini RSA. Acha urongo.
 
Sasa wewe hii habari umeitoa wapi?
 
Kuna video inasambaa ikionyesha mzungu akipigwa kwenye kituo cha mafuta ''Kenya''. Hii video ipo tangu mwaka 2020 na tukio lilisemwa kutokea South Africa.
 
Kwahiyo mzungu hajajua kama wakenya ni wazungu wenzie mana hawatutaki wanajidai uzungu mwingiiii 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…