Nelson Mandela katika kitabu chake "Long Walk to Freedom" anasimulia walipokamatwa na makaburu katika ile kesi iliyomfunga kifungo cha maisha, siku ya kwanza kuingizwa mahabusu walilazimishwa kuvua nguo zote. Anasema alishindwa kujizuia kucheka alipowaona viongozi wenzake wa ANC wakiwa uchi, kumbe ni tofauti sana na wanapokuwa kwenye zile 3-piece suits! Akaandika "clothes make the man!"
Imagine yule mzee aliyewaita wenzie 'kokoto' pale Jangwani unadhani akivua nguo zote atafananaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.