Nairobi Hospital ni aghali mara 2 ya India!

Nairobi Hospital ni aghali mara 2 ya India!

Angewahishwa Muhimbili yetu, na baadaye kama kungekuwa na haja wangemuhamishia India!
Jaribio lenu limeshindwa vibaya,mmemkosa kwa risasi,na muhimbili hakwenda mkammalizie.
Mmebaki na kuzuia malipo ya matibabu,nayo kachangiwa na wasamaria wema.
Mungu atawanyoosha na vizazi vyenu.
 
Hiyo Muzungu hospital Nairobi hata Wakenya wenyewe wanaikimbia na kwenda kuitbiwa India, lkn chadema ndiko walikompeleka Tundu Lisu na sasa wanategemea sisi tulipie gharama zake, binafsi napinga Serikali yangu kulipia gharama za Matibabu Nairobi hospital, kwani kuna utaratibu wa Mtanzania kulipiwa gharama za matibabu nje ya nchi, na huu utaratibu Tundu Lisu na wanaomuuguza hawakutaka kuufwata, hivyo siyo kosa letu na wala Watanzania hatuna jukumu la kumuuguza, hivyo ukiniuliza mimi hata wakimsusia matibabu kwa kukosa hela hapo Nairobi Hospital, sawa tu, siyo shida yetu, ...
basi mpeleke mama yako India afuate taratibu
 
Back
Top Bottom