Ni haki lkn kwa utaratibu... Unapodai haki kumbuka wajibu wako pia.Kukatalia fedha kunaonyesha nia ya Serikali. After all, ni haki yake. Atapona bila hela ya Serikali.
Ni haki lkn kwa utaratibu... Unapodai haki kumbuka wajibu wako pia.Kukatalia fedha kunaonyesha nia ya Serikali. After all, ni haki yake. Atapona bila hela ya Serikali.
Wenye haki wote wanaipata nchi hii?Siyo haki yake, ingekuwa ni haki yake angeipata!
CCM ni wauwaji, kwa nature ya tukio wala longolongo hazikutakiwa, ila mjue wakati mnapanga Mungu naye anapanga.Si wameambiwa waandike barua kwa sababu wako nje ya procedures ili walipiwe wamekataa
Kufuata Sheria ni longolongo? Kwanini wasiandike Barua wakapata huduma?CCM ni wauwaji, kwa nature ya tukio wala longolongo hazikutakiwa, ila mjue wakati mnapanga Mungu naye anapanga.
Kwani serikali ndiyo inayolipa gharama za hospitali za Lisu?Hiyo Muzungu hospital Nairobi hata Wakenya wenyewe wanaikimbia na kwenda kuitbiwa India, lkn chadema ndiko walikompeleka Tundu Lisu na sasa wanategemea sisi tulipie gharama zake, binafsi napinga Serikali yangu kulipia gharama za Matibabu Nairobi hospital, kwani kuna utaratibu wa Mtanzania kulipiwa gharama za matibabu nje ya nchi, na huu utaratibu Tundu Lisu na wanaomuuguza hawakutaka kuufwata, hivyo siyo kosa letu na wala Watanzania hatuna jukumu la kumuuguza, hivyo ukiniuliza mimi hata wakimsusia matibabu kwa kukosa hela hapo Nairobi Hospital, sawa tu, siyo shida yetu, ...
AiseeHiyo Muzungu hospital Nairobi hata Wakenya wenyewe wanaikimbia na kwenda kuitbiwa India, lkn chadema ndiko walikompeleka Tundu Lisu na sasa wanategemea sisi tulipie gharama zake, binafsi napinga Serikali yangu kulipia gharama za Matibabu Nairobi hospital, kwani kuna utaratibu wa Mtanzania kulipiwa gharama za matibabu nje ya nchi, na huu utaratibu Tundu Lisu na wanaomuuguza hawakutaka kuufwata, hivyo siyo kosa letu na wala Watanzania hatuna jukumu la kumuuguza, hivyo ukiniuliza mimi hata wakimsusia matibabu kwa kukosa hela hapo Nairobi Hospital, sawa tu, siyo shida yetu, ...
Huwa unajua ukiamua. Otherwise, you turn a blind eye!Sijui!
Ubinadamu kwanza pesa baadae..hela hainunui roho
Muhimbili ni funga kazi maana hawachelewi kusema vitendea kazi haifanyi kazi mpaka tuagizie Ulaya ndiyo tuanze tibaAngewahishwa Muhimbili yetu, na baadaye kama kungekuwa na haja wangemuhamishia India!
Wewe endelea kujitoa ufahamu.Kufuata Sheria ni longolongo? Kwanini wasiandike Barua wakapata huduma?
Hiyo Muzungu hospital Nairobi hata Wakenya wenyewe wanaikimbia na kwenda kuitbiwa India, lkn chadema ndiko walikompeleka Tundu Lisu na sasa wanategemea sisi tulipie gharama zake, binafsi napinga Serikali yangu kulipia gharama za Matibabu Nairobi hospital, kwani kuna utaratibu wa Mtanzania kulipiwa gharama za matibabu nje ya nchi, na huu utaratibu Tundu Lisu na wanaomuuguza hawakutaka kuufwata, hivyo siyo kosa letu na wala Watanzania hatuna jukumu la kumuuguza, hivyo ukiniuliza mimi hata wakimsusia matibabu kwa kukosa hela hapo Nairobi Hospital, sawa tu, siyo shida yetu, ...
Nmelipa kodi zitaenda kumtibu sio lazma nichangie kwenye account ya mboweHadi sasa umechangia ngapi?