Nairobi Hospital ni aghali mara 2 ya India!

Nairobi Hospital ni aghali mara 2 ya India!

Useless comments wewe ulitegemea hali aliyokuwa nayo Tundu Lissu angefika India. Tuwashukuru sana Nairobi Hospital kwa juhudi walizofanya kuokoa maisha ya Tundu Lissu...
Naamini serikali ya Rais Magufuli itatoa msaada wa kumsaidia Tundu Lissu.


Angefika Muhimbili yetu, halafu labda India!
 
Kwa ni ni nani aliyempa huduma ya kwanza hata akaweza kusafirishwa zaidi ya lisaa 1?
Mission imefeli. Bwana yule roho yake ipo juu juu. Alitaka atibiwe muhimbili ili akamalize kazi lkn imeshindikana. Wametoa mpaka cctv camera ili pasipo ushahidi. Wanajizungusha polisi lkn wenye akili wanajua.
Mungu tu ndiye anayejua hatima ya maisha ya mtu.
Unataka kumuua mtu ili ulinde uongozi wako na chama chako utafikiri ww utaishi milele. Mugabe ameshaondoka, bado ccm. Muda utajibu.
Mugabe ametawala miaka 37, alikuwa anajivunia majeshi lkn leo hii hayo hayo majeshi hayamtaki. Muda ukifika ccm itakufa km Mugabe.
 
Angefika Muhimbili yetu, halafu labda India!
Aende muhimbili mkamalizie? Uhai ni bora kuliko pesa.
Uzuri wana chadema wana akili sana. Waliliona hili tangu mwanzo. Angepelekwa muhimbili leo tungekuwa tushamzika.
 
Barbarosa masuala yanayohusu afya na maisha ya mtu tuache uccm na uchadema


Huyo ushauri ulipaswa uwape chadema wenzako, wanaoleta habari za Tundu Lisu kutwa nzima hapa na kuilamu Serikalli yetu kwa kuhusu matibabu yake, wkt wao ndiyo waliokataa kufwata utaratibu wetu!
 
Huyo ushauri ulipaswa uwape chadema wenzako, wanaoleta habari za Tundu Lisu kutwa nzima hapa na kuilamu Serikalli yetu kwa kuhusu matibabu yake, wkt wao ndiyo waliokataa kufwata utaratibu wetu!
Mkuu kwaufahamisho sina chama na masuala yanayohusu nchi hii sitashindwa kutoa maoni yangu kwa manufaa ya taifa letu.
 
Mtoa mada anawaza kutumia makalio.
Ingekua mama yake sidhani kama angeendelea kutumia kifaa cha uchafu kutoa mawazo yake.
 
Baada ya kushindwa kumuua mmekuja na hadithi ya gharama za matibabu kama vile umeambiwa uchangie chochote.
 
Sasa kama mnaamini hivyo kwamba Serikali yetu ndo iliyotaka kumuua, kwa nini mnaitaka Serikali yetu imtibu? Kwa nini mnaiomba tena hela, kwa hali ya kawaida muuwaji hata fedha yake inapaswa kuwa haramu, sasa kelele zote za nini?
kwa akili hizo kweli kuwa ccm ni haki yako
 
Hiyo Muzungu hospital Nairobi hata Wakenya wenyewe wanaikimbia na kwenda kuitbiwa India, lkn chadema ndiko walikompeleka Tundu Lisu na sasa wanategemea sisi tulipie gharama zake, binafsi napinga Serikali yangu kulipia gharama za Matibabu Nairobi hospital, kwani kuna utaratibu wa Mtanzania kulipiwa gharama za matibabu nje ya nchi, na huu utaratibu Tundu Lisu na wanaomuuguza hawakutaka kuufwata, hivyo siyo kosa letu na wala Watanzania hatuna jukumu la kumuuguza, hivyo ukiniuliza mimi hata wakimsusia matibabu kwa kukosa hela hapo Nairobi Hospital, sawa tu, siyo shida yetu, ...
natamani kufahamu marehemu babu yako alifia wapi na alikufakufanye.Isije ikawa unateswa na mzimu wa bab yako
 
Naamini ukilaza unawasumbua tens sana
Mnadai Serikali inahudika ndiyo maana mlimkimbiza Nairobi
Leo mnaomba Serikali hiyohiyo igharamie matibabu yake eti kwakuwa ni haki yake.
T.L naye analalamika eti hajatembelewa huko Nairobi na Viongozi wa Serikali.
Naamini hamko sawa na poleni sana.
 
Mtoa mada hizo ni pumba, yule anapaswa kutibiwa na Serikalini kwani ndiyo mujibu wa sheria ya Ajira yake, siyo kwa hisani kama unavyofikiria
 
Back
Top Bottom