Kaka habari!
Mimi nimejisajili kama windows insider ili niipate mapema windows 10 ,najiuliza na naomba unisaidie je siku ikiwa released kwa kila mtu kutakua na faida gani ya mimi kubaki insider !!?? Je kama hakuna faida naitoaje insider na kupokea official update maana sasa nahisi niko kwenye update itakayokua official mwa simu zote zitakazopokea windows 10.Simu ni lumia 820 mkuu.
Ahsante na natanguliza shukrani
Ahsante ndugu ngoja itoke public release niweke hiyo productionHakuna haha ya kutoka insider tena, sa hvi ukisikia public release imetoka nenda insider sa hvi Kuna update Microsoft walifanya Kuna fast ringer, slow, preview, na production. Weka simu yako kwenye production then you are good to go!
Whatsapp iko store,fungua store kama huja add email account add kulingana na operating system yako ,kwa windows inatumia account ya live/hotmail ,huko store ziko application zote unazohitajiMsaada plzkudownload wasap
kumbe daah...Hatuna windows mobile mkuu ni windows phone
Nisaidia jinsi ya kuweka jamii forumUnafikiri nitarudi android ? Nimerogwa ndo kwa heri hivyo ila tusaidiane tu kitu kimoja naipataje application ya kupatana via wp manake siipati na muungwana pia
Download application inaitwa tapatalk,jiunge kisha usearch jamii forum ,ni nzuri kuliko hata jf ya kwenye androidNisaidia jinsi ya kuweka jamii forum
AsanteDownload application inaitwa tapatalk,jiunge kisha usearch jamii forum ,ni nzuri kuliko hata jf ya kwenye android
simu zote za wp8 zinapata win 10 usiwe na wasi wasiMkuu hivi lumia 535 inaweza kupata update ya windows 10?
ni walpaper tu hio, kubadili walapaper nenda setting halafu start and themes hapo utachagua rangi ya simu, idadi ya tiles, walpapers nkMkwawa hebu nielekeze jinsi ulivyowek mwonekano wa pin za simu yako kw nyuma anaonekana mbwa MWITU HIVI YANI SO AMAZING
almost zinafanana kasoro display, ram na camera. ila in real life yakwako itakuwa na nguvu zaidi sababu soc yake ina nguvu wakati display resolution yake ni ndogonilikua na compare my WP ambayo Ni 822 na WP 1020 ,nimeachwa vbaya