Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Nokia Lumia ni wazuri but camera zao bado hazitii mguu kwa iphones & sumsung

mi nasubiria december tu mungu akijalia nione comeback ya nokia itakuaje. hizi simu mpya za microsoft zinavutia kwenye karatasi ila hazina tofauti na android ni specs specs specs tu hakuna innovation. mc laren wameicancel na tech nyingi za nokia sizioni. nataka kuwa suprised na innovation za maana kama alivyokuwa nokia na sio kuongeza quantity tu
Microsoft hawatoi mzigo wa ukweli mpaka windows 10 ikamilike. Vuta subira, hizi za sasa sio high-end, naamini kitu kinachokuja kitakuwa vizuri
Kwaiyo brand ya nokia ndio haipo tena had mkataba na microsoft uishe?
my dream phone ni surface phone. simu itakayokuwa na uwezo wa kurun desktop app. sitajali hata ikiwa na ukubwa wa kioo 6 inch.
nataka nyumban niwe na monitor tu simu yangu nikiieka kwenye dock ndio inakuwa desktop.
nataka simu yenye true multitasking, nicheze game za ps2, gamecube psp na nintendo wii.
soc za cherrytrail zipo tayari kwa matumizi yote hayo juu nasubiri tu maamuzi ya ms.
wakiamua kukomaa na soc yao iliofeli ya sd810 ni wao wenyewe ila mimi nataka simu ya intel. wasipotoa simu ya intel nitatafuta tu tablet ya 8inch sababu kuna universal app nitaweza tumia app za wp kwenye tab yangu then nitaangalia nokia atatoa nini. jolla pia nawaangalia kwa undani maana sailfish naipenda pia japo simu yao ya kawaida
Mkuu hivi naweza tumia browser ipi ktk WP iwe ina perform kama mozilla fire fox , maana matokeo ya chuon kwetu yanawekwa online bila mozilla hayafunguki
Microsoft hawatoi mzigo wa ukweli mpaka windows 10 ikamilike. Vuta subira, hizi za sasa sio high-end, naamini kitu kinachokuja kitakuwa vizuri
Mpaka sasa simu ya ukweli ambayo nokia waliitengeneza ni 1520 tu
my dream phone ni surface phone. simu itakayokuwa na uwezo wa kurun desktop app. sitajali hata ikiwa na ukubwa wa kioo 6 inch.
nataka nyumban niwe na monitor tu simu yangu nikiieka kwenye dock ndio inakuwa desktop.
nataka simu yenye true multitasking, nicheze game za ps2, gamecube psp na nintendo wii.
soc za cherrytrail zipo tayari kwa matumizi yote hayo juu nasubiri tu maamuzi ya ms.
wakiamua kukomaa na soc yao iliofeli ya sd810 ni wao wenyewe ila mimi nataka simu ya intel. wasipotoa simu ya intel nitatafuta tu tablet ya 8inch sababu kuna universal app nitaweza tumia app za wp kwenye tab yangu then nitaangalia nokia atatoa nini. jolla pia nawaangalia kwa undani maana sailfish naipenda pia japo simu yao ya kawaida
Kanunua Sonyericsson uchuze game zote za play station ila unatakiwa uende labda South Africa coz nch zetu hz ambazo hazijielew system haisapot hyo huduma
Then sony simu zao unaweza uka connect na tv au pc na ikapiga mzigo bila hofu
Tatu hyo ndoyo yako ya mchana kuwe na mobile divice iwe na functions za pc sahau
1.hakuna simu zinazoitwa sonyerricson siku hizi, hio ndoa ilivunjika kuna sony 2
2. mbona kila simu inaconect na pc na tv kwani lazima sony?
3. kinachofanya simu iwe na function za pc ni processor, intel washatoa processor ya simu ya x86 yenye uwezo wa kurun full windows, soon simu zenye full windows zitatoka just sina uhakika kama ms atatoa au hatatoa
Eti hakuna Sonyericsson hahahahahahaha daah kazi ipo
umetumia kigezo gani? labda ungesema nokia lumia kali ni 1520/ kuna simu kali za feature phone za symbian na java/
upande wangu lumia kali ni 1020 hiyo 1520 screen oversize