Naipenda simu yangu ya windows

unatumia simu gani? kwenye insider kulock 3g ipo maybe watarelease patch
 
mimi toka zamani si upload pic zangu jf natumia hosting nyengine.

nenda hapa
Imgur

halafu upload picha yako then paste url yako sehemu unapotaka picha ionekane ikiwa katika tag za img
MKUU vipi lgP769 ubora wake ni mzuri?
 
Ni official. Jana mida ya jioni saa nilipata notification ikinitaka niupdate. Bila ajizi nikaupdate,

Imekaa poa sana. Imenivutia hiyo. Sijui 620 itapata lini hiyo kitu
 
simu ya zamani sana hata os yake ya zamani itategemea unaipata kwa sh ngapi na unataka uifanyie nini
Kwa ajili ya kuchati na kucheza magemu MKUU niko nayo hapa ila nikiitumia kwa mda mrefu (MASAA3)inapata inapata moto sijui nini tatizo MKUU CHIF.
 
mim nipo 122 n stable...
 
Attachments

  • wp_ss_20160307_0001.png
    26.4 KB · Views: 56
Kwa ajili ya kuchati na kucheza magemu MKUU niko nayo hapa ila nikiitumia kwa mda mrefu (MASAA3)inapata inapata moto sijui nini tatizo MKUU CHIF.
hio simu haiwezi kuhandle games kubwa, na kupata moto inategemea ulikua unafanya nini kila simu inapata moto
 
unatumia simu gani? kwenye insider kulock 3g ipo maybe watarelease patch

Ila dah, inaonekana hii WP 10 os inatafuna sana chaji. Maana consumption yake imekuwa kubwa tofauti na ilivtokuwa katika WP 8.
 
Ni official. Jana mida ya jioni saa nilipata notification ikinitaka niupdate. Bila ajizi nikaupdate,
Poa kaka kwa maelezo...me natumia Lumia 625 acha tu niisuburi nna hamu nayo kweli sijui lini ntaipata,naogopa kuichukulia windows insider sina ujanja sana wakucheza na haya madude.
 
Ila dah, inaonekana hii WP 10 os inatafuna sana chaji. Maana consumption yake imekuwa kubwa tofauti na ilivtokuwa katika WP 8.
pengine wameongeza background task nyingi, am not sure kama win 10 utatumia same procedure ila kwa wp ukienda kwenye app ya battery utaweza kumanage background task na kuvifungia vitu ambavyo hutaki vifanye kazi chini kwa chini
 
jisni ya kuangalia local tv na tv nyengine kwa kutumia windows phone
kuna wadau humu waliniomba nilifanyie kazi hili suala haya ndio majibu

1. nenda store search app inaitwa tvizzle hii app itakuwezesha kuangalia tv online pamoja na kusave list ya tv zako kwa ajili ya kuja kuangalia baadae

2. fungua app yako utakuta tv za kituruki achana nazo nenda setting utaona sehemu ya kupaste url

3.nenda link hii kupata chanell za kitanzania
IPTV - AFRICA ~ Iptv Links

4.paste link husika kwenye box la url halafu play

local tv zitaanza kuplay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…