EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,108
Pamoja na kwamba siku hizi kasi yangu ya ku comment imepungua sana ndani ya JF, bado hakuna siku naweza kukosa kuingia humu, iwe kwa ka simu kangu ka jicho moja au kwa ka Laptop kangu ka kuunga unga. Kuna watu humu ndani huwa napenda tu kuona comments zao kama;
lara 1; Huyu nahisi kama amekuja kuchukua nafasi ya Erotica baada ya kupotea kimtindo na anaibuka kimagumashi hivi (Hasa baada ya ile mimba yake ya FIBROID)
Evelyn Salt; Huyu kama amekuja kuchukua nafasi ya Kongosho wa zamani kabla hajapata bwana mtu mzima kidogo nahisi ambaye amemfanya amekuwa mpolee mpaka anatia huruma. Kuna wakati huwa najiuliza sana huyu binti akili yake inafanya kazi kwa betri gani?
Natalia; Huyu huwa ananifurahisha na thread zake za kukurupuka halafu anajifanya matawi ya juu, aka mzungu mswahili asiyetaka kuji associate na ngozi nyeusi kabisa. Ila kizuri huwa hawezi sana kutetea hoja zake na akiwekwa kona huwa anakimbia au anahama kwenye topic.
Bishanga; Huyu naona siku hizi kakutana na vitoto vya chit chat vinampeleka mbio, kaacha kuvaa suspender siku hizi kaanza kuvaa suruali za mche mchele ili afanane na wazaire wa kule lakini bado wapi. Ila bado yumo and i love reading whatever he writes.
Zinduna; Siku hizi naona kama kahama humu kahamia kule kwenye FB ya JF (Chit Chat) Ila i still follow whatever she writes and it always make me smile big.
Pamoja na wengineo weengi ndio wanaonifanya niipende JF na hasa MMU. Ila nimewamiss sana Lizzy (Uko wapi jamani kichuna?), Preta (Umepotelea wapi mtoto wetu?) afrodenzi (You are really missed) Mwali (We binti weee, hebu rudi bhana) snowhite (Partner nimekumisije!) AshaDii (My sister, you are missed)

Last edited by a moderator: