naipenda hii

naipenda hii

whiteseeds

New Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3
Reaction score
0
siku moja paka na mbwa walikuwa wanapiga stori. ikawa kama hivi
  • paka: mimi nashangaa sana , yani huyu binadamu anatudharau sana maana katika wanyama awafugao wote anawala kasoro mimi na wewe mbwa tuuu !!!
  • Mbwa: oya acha acha ujinga , uwe unatumia akili ukiwa unaongea maneno kama. usije ukaongea msemo huo IRINGA utaniponza mwenzako.
jokes jamani no offence. nawasalimu wote

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom