dar ntakuja kupata mahitaji kama ambavyo naweza kwenda moshi, arusha, na hata kagera lakn yawezekana ni sababu ya kutotembea miji mbalimbali ukauona utofauti ndio maana unaiyona dar ni mbingu ndogo
View attachment 221324karibu beer
hata za kuonja zipo.
Dar es salaam raha..papuchi unapata kwa buku mbili tu....
Ukiwa na buku unaweza kula milo mitatu...
nani kakwambia DAR ni mbingu? kuipenda dar haina maana mtu hajafika miji mingine ni mapenzi ns mji wangu ndio maana nasema hata nikiambiwa nichague miji mitatu duniani DAR lazima iwepo
nani kakwambia DAR ni mbingu? kuipenda dar haina maana mtu hajafika miji mingine ni mapenzi ns mji wangu ndio maana nasema hata nikiambiwa nichague miji mitatu duniani DAR lazima iwepo
Hivi siku hizi mkuu KikulachoChako ni wewe yule yule au kuna hacker anatumia id yako!!
hahaha!Naskia dar kuna vibanda vya wahaya. Hivi vina kazi gani?
Dar nzuri tatizo joto sana utadhani tuko kwenye oven??? Japo bahari inaniburudishaga sometimes,,, nimezaliwa ocean road!
nani kakwambia DAR ni mbingu? kuipenda dar haina maana mtu hajafika miji mingine ni mapenzi ns mji wangu ndio maana nasema hata nikiambiwa nichague miji mitatu duniani DAR lazima iwepo
mkuu RRONDO ingekuwa vizr sana ungeweka picha za jiji zima ili tuone dar labda tuvutwe nasie...
Huwez ukawa unamsifia mkeo kwasis tusiomjua halafu ukatuwekea picha ya miguu tu. Weka picha nziama tumwone kuanzia unywere hadi ukucha mguu
Unaipendea nini kwani?
thread hii ni juu ya sehemu zinazonifanya niipende dar.....hizo nyingine unaweza kufungua thread yake tuchangie