wizara ya nishati na madini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ngungenge

    Sasa Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta

    Sasa ni dhahiri Wizara ya Nishati washeni mitambo ya mafuta wakati mnajipanga na umeme wa maji. Wakati huo fanyeni kuharakisha kuongeza uzalishaji wa Gesi ili tupate umeme wa bei nafuu. Wizara ya mazingira andaeni strategic plan ya kupanda miti ya kutosha ili tupate maji. Maeneo ya mabonde...
  2. El Roi

    Naiona Wizara ya Nishati ikifanya vibaya sana chini ya January Makamba

    Nikiri mwanzoni kabisa mwa andiko langu kwamba sifurahii na Wala siuzuniki Kwa mabadiliko chanya au hasi ya baraza la mawaziri au chochote katika nchi hii. Na sababu ni kwamba Mimi ni muumini wa mambo makubwa ya kimfumo kama vile katiba inayoendana na Hali ya Sasa ya nchi na dunia kwa ujumla...
  3. D

    Wizara ya Nishati na madini toeni ufafanuzi; kwanini soko la shaba (copper) limepaa maradufu?

    Kuna malalamiko mengi sana juu ya soko la shapa kupaa! Gharama ya mauzo na manunuzi ya shaba (copper) imepaa sana kwa zaidi ya 45%-55% ya bei ya awali je tatizo ni nini? Nani anafahamu kwa nini soko la madini hayo limepaa sana? Shida iko wapi? Wenye majibu tafadhali
Back
Top Bottom