Naiombea TCU Guidebook 2016/17 itoke mapema

Harnandez

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
408
500
Ndugu zangu wahitimu pamoja na wote wanao kusudia kujiunga na masomo ya elimu ya juu tushirikiane kuiombea guidebook hii itoke kwani nahisi inafanyiwa marekebisho makubwa kwa mwaka you wa masomo ila swali ni kwamba walikua wapi siku zote hizi mpaka wawacheleweshe wadau namna hii......
 
tiazo

Member
Jan 24, 2013
68
125

Zitatoka tu
 
King Ngwaba

JF-Expert Member
May 15, 2016
15,945
2,000
Dah! Nilipoona tu title ya Uzi wako nilifanya Fasta Kufungua Nilifikiria Mzigo Tayari kumbe dah!!!
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,645
2,000
Tuuoembee ndugu yangu maake si kwa marekebisho hayo!
Vyuo huwa vinasubiri matokeo kwanza ili waone kiwango cha ufaulu ili na wao waweke cut off point kwa kozi mbali mbali kwenye vyuo vyao! Nahisi cut off points zitashuka kidogo kulinganisha na mwaka jana! Mwaka huu points 3, 4 na 5 ni za kutafuta kwa tochi! Japo hazitashuka chini ya 4 maana hiyo ndiyo very minimum!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom