Naingiaje payroll mpya ya Serikali?

Naingiaje payroll mpya ya Serikali?

Nenda Utumishi Makao Makuu utaelekezwa. Kwa nini ulikataa /ulisitishiwa ajira mkuu? Hii huwa inasumbua mno kupata ajira serikalini. Wakiingiza tu namba ya cheti kidato Cha nne, check number inasoma na sababu.
Nilijichanganya tu miaka sita iliyopita niliajiriwa then ajira zikasitishwa kwa kwa mwaka mmoja baadae tukaambiwa kurudi kituoni mm sikurudi nikijua sitapata check kumbe tayari wameprocess ila nahisi mwajiri alizingua maana waliwapa barua mpya za kuripoti mm sikupata barua na sikuripoti tena .
 
Unaajiriwa then ajira inasitishwa ?

How is this even possible in the civil service
 
Unaajiriwa then ajira inasitishwa ?

How is this even possible in the civil service
In short nilifanya interview utumishi nikapangiwa kituo cha kazi kwenye wizara then likatoka tangazo la Rais kusitisha ajira mpya ili waondoe watumishi hewa. Baada ya mwaka wakapata kibali cha ajira mpya ndiyo wakatuita kurudi kituoni mm sikurudi kumbe waliprocess check namba kabisa.
 
Kwa hiyo ulizira ila Sasa unataka tena?
 
Kitu kama hicho hata haina haja ya kuleta kwenye jukwaa hili. Na umeweka utambulisho kabisa. Huna kifua.
Kwa hiyo unataka niwe na kifua wakati jambo linaniumiza na msaada sina .Mara nyingi MTU aliyeshiba hamjui mwenye njaaa. Kifua na hill ni Tatizo tayari nikikaa kimya itanisaidia nini!
 
sasa hapo mje wizarani tuwape mtihani wa form 4 na six wote nyie wawili mufanye tuone nani angalau anapata 60/100 ndo mwenye cheti na apatiwe cheki no. siku hio hio aripoti kazinj.
 
Kuna kipindi mtu alikuwa akifaulu kwenda advance basi cheti cha O Level anakipiga noti watu wanakwendanavyo majeshini na sehemu nyingine za kiutumishi.
Mwaswali
1. Uliibiwa lini?
2. Uliripoti police na ulipewa loss report?
3. Kwa kipindi chote ulishindwa vipi kupata cheti kipya? Maana inaonyesha harakati nyingi ulifanya baada ya kuonekana umekosa check number.
Nijibu haya nikusaidie
Kuna kitu unadanganya hutaki kuwa muwazi. Umesema uliripoti mwakajana na huyo mtumishi akafukuzwa kazi, then umesema umeajiriwa mwaka huu mwezi wa 6 na sasa una miezi 7 hujalipwa mshahara.
Je, kutoka Juni mwaka huu mpaka hii Julai mwaka huu ni miezi saba? Ikumbukwe hapo hata mshahara wa July bado
Amesema hatapata mshahara wa mwezi wa saba(mwezi huu), hajasema kwa miezi 7.

Kazi kaanza mwezi wa 6.
 
Tujitahidi kuwa waelewa ndugu zangu .MBNA vitu vipi wazi , msingang'anie vitu vyenyew ushahid hamna
 
Kwa hiyo ukiuliza kwa msaada zaidi unakuwa unakosea.Ni kwamba nahitaji msaada zaidi as long as sijaua .Ni kutaka kupata ushauri zaidi
Hujakosea pole Sana dear haki yako utapata tu,kinachouma mtu kutumia cheti Cha mtu wanasababisha shida Sana kwa wenyewe..
Haswa kipindi hiki,naimani utapata tu stahiki zako
 
Wewe ULIUZA CHETI hukuibiwa. Sema ukweli usaidiwe.
In short hapa Kuna ukweli hausemwi.

Ni aidha aliuza cheti au alinunua cheti.

Na cheti kimoja Cha kidato Cha nne haliwezi kutumika na watu Wawili kama huyo mwingine bado yupo kwenye system au amestaafu Happ lazima mmoja apoteze.

Au Kama ni yeye mwenyewe aliwahi kuwa kwenye Utumishi akaondoka lazima awe mkweli afuate taratibu nyingine.

Na anaposema eti hawezi kuingia kwenye Payroll mwezi huu kwasababu hiyo.

In short, Ni kwamba anaweza kukaaa hata miezi 12 bila kuingia mpaka Hilo suala lake liishe au asiingie Kabisa
 
Nikweli kabisa mkuu
 
Mimi nataka wafute check No ili niombe kazi ninayoitaka
Haiwezekani kufuta check no.

Ila unachoweza kufanya, ni kuandika barua kwa Katibu Mkuu Utumishi, Kama utaratibu wa kurudishwa kwenye Utumishi.
 
Nimesema nimeajiriwa mwezi wa 6 mwaka huu, hivyo mwezi wa saba sitaingia kwa payroll
Hongera kwa kuajiriwa. Siku payroll ikisoma, utukumbuke basi na sisi wenzako tuliokosa ajira kwa mara 5 mfululizo.
 
Back
Top Bottom