Naingiaje JamiiForums kwa kupitia Freebasic?

Naingiaje JamiiForums kwa kupitia Freebasic?

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,368
Reaction score
12,965
Habari wanaJF,

Husika na mada hapo juu, kama mnavojua vyuma vimekaza

Naomba mnisaidie jinsi ya kuingia JamiiForums kwa kupitia Freebasics. Je, procedure zake zimekaaje?
 
free.png

Check hiyo hapo
 
Bonyeza hii link uweze tumia. Huwa natumia freebasics kupitia computer pia
Husika na mada hapo juu,kama mnavojua vyuma vimekaza
Nifanyien mpango wa freebasics kuingia jf...procedure zimekaaje?
 
www.freebasis.com


Chagua lugha unayotaka kutumia...

Angalia kwenye list ya free services kama Jf ipo, .
Kama haip shuka chini kabisa Kuna sehemu pa kuadd free services , click , nenda kwenye search engine search jf , bonyeza alama ya jumlisha ....

NB:kuna carriers hazitoi huduma ya Freebasics.
 
hii kitu ni tamu mnooo..hata kama hauna bando hamna unachokosa ...kusema kweli hii ndo app ninayotumia na ninajivunia kuwa nakula udambwidambwi muda wote....
 
Huu mwaka wa sita sasa naingia JF kwakutumia freebasic

Nikitaka kuangalia Videos, Attachment na Picha ndiyo natumia JF app
 
Simple sana! Nenda kwenye browser ya simu yako, type (www.internet.org) then itaload na kufunguka... Chagua lugha, then bonyeza continue... baada ya hapo ztatokea tovuti mbali mbali kam BBC Swahili, BrighterMonday, Wikipedia, WikiHow, ESPN, Nairaland n.k.. Ww scroll tu hadi utakapoiona JF.

Kama hujaiona hyo JF basi scroll hadi chini kabisa kuna sehemu unaongeza tovuti kwny hyo FreeBasics then tafta JF bofya alama ya + then ENJOY! Unaweza pia kupakua App ya FreeBasics ukaiweka ktk simu yako.

KILA LA HERI.
 
Kama unatumia smart nunua bando nenda play store download app ya free basic.kama huna smart ukiingia fb ya bure shuka chini kabisa kwenye home page yako utaiona freebasic.masharti ili kuipata jf kwenye free basic unatakiwa utumie laini ya Vodacom na tigo pekee.
 
hii kitu ni tamu mnooo..hata kama hauna bando hamna unachokosa ...kusema kweli hii ndo app ninayotumia na ninajivunia kuwa nakula udambwidambwi muda wote....
Haina mwisho kabisa?
 
Mleta Mada
Nimekuelewa Sana Baadhi Ya Wachangiaji Wengi Wameshindwa Kukuambia Inategemea Na Aina Gani Ya Smartphone.

Mimi Natumia Samsung Galaxy J5 Prime
Nikiingia Kwenye Internet Inagoma Kutumia Freebasics.com

Ila Ninatumia Google Chrome
Naitumia Kuifungua Halafu Ndiyo Naweka Vyombo Hivi www.freebasics.com
Hapo Sasa Ndiyo Yote Waliosema Wadau Unayapata


Kuna Simu Kama Samsung Galaxy J3
Yenyewe Ukienda Internet Ukiandika www.Freebasics.com
Unafunga Tu
Inategemea Na Simu. Lakini Tumia Google Chrome
 
Back
Top Bottom