Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,942
- 15,707
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo kadi hupewiMmh.
Harusi hiyo kama ilikuwepo best bila Hajar kupewa kadi au kutoa kazawadi naiita batili kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasemea harusi yako ujue best? Maana umemkaribisha kwenye chama chenu.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapo kadi hupewi
Jasiri aachi asiliHongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
nimejikuta nacheka umetumia kigezo cha umri au?Hakika unajua kuchagua, mtu akimuangalia tu Shem wetu lazima ajifunze kitu kuhusu wewe na yeye.
Mmh. Rafiki.
Umeandika wewe kweli hapa? π
Duuh! Pole sana rafiki.Rafiki stress.... ukiona manyoya ujue kaliwaaa.... wengine twaugulia tuu hapa π’π’π’
Duuh! Pole sana rafiki.
Hahaha uuuwiHongera sana,, sasa naamini binamu zako wataponaView attachment 866581
Oya utatuua huku bwana wengine bado sanaNakutakia safar njema ya kusuuza rungu muda wowote uutakao mkuu
Teh!Mkuu, Mungu akutangalie akupe moyo wa uvumiliv wa kuishi na hawa viumbe,, kila na kheri!!!!
Sio binamu yako kweli, mbona mnafanana.Heri iwe nanyi.....nimeamua kufany maamuz my magumu Kama kijana...Leo 15/9. Nafunga ndoa maeneo ya ukonga Mombasa...karibun ... naambatanisha Na sendoff picha iliyofanyik alhamisView attachment 866571View attachment 866572
Rebeca utatua bhana mwache atakomaa tyumtoa mada kakimbia lols
Mke wake mzuri akaona amuweke JF
Sasa ndoa imeingia shubiri bado mapeema kabla hawajaianza safari
Na Mkeo anaonekana mdogo sijui atafanya maamuzi gani
Harafu nina picha yakoWanaume wembamba wanapenda bongez. Hongera