Naingia ktk maisha ya ndoa

Hongera mkuu
Karibu kwenye chama la wanaume wa ukweli

Kila la kheir ila uvumiliv na akili vinahitajika

Ushauri : jitahidi sna hata km una hela gani usimzieshe maisha ya juu mke katk sku hizi za awali kwani ndo zinamfanya mwanamke aishije na ww ktk maisha yenu yote so kazi kwako km utamzoesha daily outing sku ukifulia utakuja kuisoma ndugu
 
Thanks kwa ushaur mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…