Tumia app ya DNS66 / Adguard, Mkuu!Kwa sisi ambao hatuja-root simu inakuaje mkuu.
Tumia app ya DNS66 / Adguard, Mkuu!
Maelezo ya DNS66 hayo hapo.
DNS66 Host-based Blocker for Android
How to Block All Ads on You Android Device Using DNS66
Pamoja mkuu....Ikitokea ukakutana na website yeyote iliyokuwa blocked kimakosa kupitia hiyo hosts file usisite kunijulisha, Mkuu!
Ahsante kwa mrejesho wako!
Kazi nzuri sana kaka nineitumia so far sijakumbana na tatizo lolote na matangazo kila nakofungua yako blocked.Ikitokea ukakutana na website yeyote iliyokuwa blocked kimakosa kupitia hiyo hosts file usisite kunijulisha, Mkuu!
Ahsante kwa mrejesho wako!
Mm nimekuelewa pia nna shida binafsi.Kila website ina IP address yake.
Hosts file ni text file ambayo kazi yake ni ku-redirect websites fulani kwenda IP addresses fulani (kwa lugha nyepesi).
Mfano:-
104.25.213.115 jamiiforums.com
Hivyo,
Kwenye hosts file uki-redirect Jamiiforums.com kwenda 185.60.219.35 instead of IP yake i.e 104.25.213.115, basi kila uandikapo Jamiiforums.com kwenye browser na ku-bofya "ENTER" utajikuta unapelekwa Fesibuku!
Mfano:-
185.60.219.35 jamiiforums.com
Tukija kwenye ku-block matangazo/ads, kwenye hosts file huwa tuna-redirect list ya websites ambazo ndizo zenye kuleta hayo matangazo kwenda IP address "0.0.0.0".
0.0.0.0 itaifanya hiyo website ya matangazo isipatikane/isiji-load pindi ukiperuzi websites mbalimbali.
Umenisoma, Mkuu?
Si mjuzi sana wa hayo mambo, Mkuu!Mm nimekuelewa pia nna shida binafsi.
Nna blog ambayo nimeweka custom domain. Shida ni kwamba siwez access iyo site mpaka nianze na www.
Nifanye nn ???
Mkuu seems unajua kwa hayo maelezo yako.Si mjuzi sana wa hayo mambo, Mkuu!
Nakushauri fungua thread mpya katika jukwaa hili ili wenye kujua wakusaidie.
Si mjuzi sana, Mkuu!Mkuu seems unajua kwa hayo maelezo yako.
SawaSi mjuzi sana, Mkuu!
Pia, tukianza kujadiliana kuhusu mambo mengine zaidi ya ad-blocking kwenye hii thread tutakuwa tunapoteza lengo.
Ndio maana nikakushauri ufungue thread mpya ktk hili jukwaa.
Hapo bado hujaweka kama nilivyofanya mimi kwenye screenshot yangu hapo juu.mkuu screenshot hio