- Thread starter
- #21
Mkuu HAMY-D nadhani unaitaka ile iloimbwa na Aika feat Nahreel inaitwa Mbona unachelewa.
Mkuu AmaniGK, nimeipata, imeimbwa na Navy Kenzo ft Nahreel & Aika. Thanks again.
Halafu pia kuna ngoma moja inahusu kiuno, ila sio ile ya TID, yenyewe inaenda hivi...kiuno kiuno kiuno...
Last edited by a moderator: