Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu

Naibu waziri wa nishati Judith Salvio Kapinga ameyasema hayo Bungeni trh 16/2 alipo banwa na Spika wa Bunge kuwa mwisho wa mgao ni lini? Kisha naibu waziri huyo akajibu " Mhe. Spika hadi mwezi wa tatu mgao utakuwa umepungua kama sio kwisha kabisa"

Ushauri wangu;
Endapo itafika mwezi wa Machi na bado tukaendelea kupata mgao, yaani kukatika katika kukaendelea nashauri naibu Waziri awajibike kwa kuachia ngazi. tusiendelee kunga'ang'ania nafasi wakati wananchi wanataabika na mgao wa umeme.
 
Back
Top Bottom