Naibu Waziri Kalemani atoa wiki 2 kampuni ya Sengerema Engineering kuunganisha umeme katika vijiji 5

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,512
Naibu waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medadi Kalemani amempa wiki mbili mkandarasi wa kampuni ya Sengerema Engeneering Group kuhahakisha anamaliza kuunganisha umeme katika vijiji vitano vya kata Nyaruhande wilayani Busega mkoani Simiyu.

Mradi huo unalalamikiwa kusuasua na kuchukua muda mrefu kumalizika.
 
Back
Top Bottom