Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,416
- 3,911
Serikali imewaagiza Wakurugenzi wa Mamlaka zote za Maji nchini wahakikishe watumiaji wa maji wanashirikishwa kikamilifu katika usomaji mita ili kutambua gharama halisi wanazopaswa kulipa na kuepuka kubabikiziwa bili kubwa kuliko matumizi
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa maji Jumaa Aweso akiwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maji katika Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa maji Jumaa Aweso akiwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maji katika Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.