Naibu Meya Arusha Ajiuzulu

Naibu Meya Arusha Ajiuzulu

Sense

Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
23
Reaction score
1
Habari za kuaminika muda mchache uliopita aliyekuwa Naibu Meya Arusha AMEJIUZULU. More News to follow na tunasubiri "tetesi" Meya mwenyewe atoe kauli ingawaje yeye ni mbuzi wa kafara labda itachuku siku nyingine tatu mpka tano kutoa tamko..

Then I think RPC, IGP to follow before president.....
 
Kitaeleweka tu tayari kuna watu wamepoteza maisha kwa ajili yao, hiyo dhambi haiwezi kuondoka mikononi mwao.
 
Habari za kuaminika muda mchache uliopita aliyekuwa Naibu Meya Arusha AMEJIUZULU. More News to follow na tunasubiri "tetesi" Meya mwenyewe atoe kauli ingawaje yeye ni mbuzi wa kafara labda itachuku siku nyingine tatu mpka tano kutoa tamko.. Then I think RPC, IGP to follow before president.....

Chanzo cha habari bwana mkubwa ungeweka kabisa, labda ni tetesi
 
wajiuzulu wote mpaka rais wao anaeshinikiza ukandamizaji na mauaji ya raia tumemchoka hatumtaki.
 
wajiuzulu wote mpaka rais wao anaeshinikiza ukandamizaji na mauaji ya raia tumemchoka hatumtaki.

Nasikia anataka acheze na katiba ili urais usiwe na kikomo cha miaka 10, we subili
 
Sasa hivi ndio namsikia kutoka RADIO ONE huyu Diwani wa TLP Michael Kivuyo, ameomba uongozi wa TLP nao wamemkubalia. Amesema hawezi kuongoza watu ambao hawana imani nao. Kama watu waliowachagua wanauwawa mbele yao, yeye anaona ni usaliti kuwa kiongozi wao. Na ameonelea bora apambane na serikali inayouwa akiwa kama mwananchi wa kawaida kuliko kuwa kiongozi mkubwa kama Naibu Meya.

Swali ambalo hakuulizwa na sikumsikia akilitolea maelezo ni kwanini amechelewa kujiuzulu.
 
ni hbr za kweli kbsa, nmesikia live bwana kivuyo akitangaza kuwa amepata baraka zote za chama chake TLP ili aachane na nafasi hiyo yenye dimbwi la damu!
 
Naibu Meya jiji la Arusha Ndugu Maiko Kivuyo TLP kajiuzulu wadhifa wake huo sasa hivi. "Breaking news Radio one sterio"
 
Karibu sana Hilary, habari itakutoa hii. Post ya kwanza ni Breaking News, tena ya ukweli.
 
afadhali, huyo meya naye afuate kujiuzulu, otherwise damu za watu zitaendelea kumlilia katika uongozi wake!
 
Meya,naibu meya,mkuu wa mkoa,mbunge,diwani etc!so many designations!no wonder a country is corrupted!
 
Kutokana na mauaji yaliyotokea Arusha hivi karibuni Naibu Meya wa jiji la Arusha bwana Kivuyo amejiuzulu wadhifa huo. Source: radio one breaking news.
 
Unasema nini? Si Wa-Arusha peke yao ni watu wa wa nchi nzima wanaopambana kujikomboa na udhalimu. Navyoona mie, CCM itakosa kabisa pa kutokea.

Kila siku zinavyokwenda, na matukio yanavyjionyesha, ninaongeza hisia zangu kwamba JK hakushinda uchaguzi, amepora tu. Kama NEC ingemtangaza Dr Slaa kuwa ni mshindi, basi JK na genge lake wangefanya ki-Gbagbo, bila ya shaka yoyote, na nchi ingetumbukia katika machafuko makubwa.Uhuni waliyouonyesha katika uchaguzi wa Meya wa Arusha ni onyesho tosha. Labda tushukuru tu hilo halikutokea, lakini CCM wajue kwamba wanapanda mbegu mbaya sana.
 
Back
Top Bottom