mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,585
- 11,269
Jf imekuwa huru dada anachambuliwa si utani
Kaimba na kuserebuka ugenini[emoji23][emoji23][emoji23]no offenseNo, not at all. kule kutamka neno NYEGE, ni dhambi kubwa sana! Hata ukiwa ugenini, hapana. Swali unaweza kutamka NYEGE mbele ya baba yako, wakwe zako and the like kuwa eti ni ugenini siyo Bungeni? NO!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]Duh! Kwa kweli ukishafika nyegezi we kuulizia KUMALIJA hotel tu.. halafu siku hizi wanakufata na gari zao pale stand
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
I am THE BASATA ,BASATA are Outdated - TID Mnyama.Wala hastahili lawama, pamoja na kupotoka kwenye leadership ethics lakini hiki si kipindi cha mchonga... A conservative man full of ethics and leadership morals... FULLY...!!! .
Umri na matumizi ya nyakati vimembeba... After all she is too busy to know what is going around with BASATA n the like... Hivyo....
Kafika ugenini, kafurahishwa kafurahi kawekewa nyegezi... Anyone in this life can vibe! What is BASATA anyway... After all pale sio bungeni zaidi sio Tz.. KanyegekaView attachment 954783
Dah...! [emoji85]ladha yake nyama tupu[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji23]Nyege nyege nyegezi kumbe imebamba mpaka kwa yule tulia hahaha kama unataka kujua mambo yake mshana Jr muoneshe kipindi akiosha gari huku akicheza ndani ya tight.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mahitaji ya nyakati... Mbele kwa mbele ya Dr Remmy.. usirudi nyuma KUNDUchi[emoji23]Siwezi kuwalaumu wabunge sababu enzi zao walicheza Muogo wa jang'ombe ya Bi kidude na nyimbo ya Mwanahela anauliza "mkunaji na mkunwa huona raha ni nani".
Mimi nipo hapa na sikiliza wet dream ya J. Cole na kwenye maradio inapigwa au hukusikia verse ya Nonini ktk nyimbo ya Nibebe aliyoshirikishwa na Nyota ndogo na ilikuwa inapendwa sana na kupigwa sana kwenye radio.
Sometimes huwaga najiuliza hivi ni maadili gani ambayo serikali wanayataka, hapo hujamsikiliza Issa Matona au ndio maisha bila unafiki hayaendi.
Saint Joseph university of Tanzania (saut)Nyengezi? Sauti?