Nasikia ulisharuhusiwa au inakuwaje mdau? Bado umezuiwa?Wala hastahili lawama, pamoja na kupotoka kwenye leadership ethics lakini hiki si kipindi cha mchonga... A conservative man full of ethics and leadership morals... FULLY...!!! .
Umri na matumizi ya nyakati vimembeba... After all she is too busy to know what is going around with BASATA n the like... Hivyo....
Kafika ugenini, kafurahishwa kafurahi kawekewa nyegezi... Anyone in this life can vibe! What is BASATA anyway... After all pale sio bungeni zaidi sio Tz.. KanyegekaView attachment 954783
Umesikia kwa nani?Nasikia tulia jakson ana uno balaa
Sio lazma nisemee hapa hata kwenye kucheza mziki anajua kukatikaUmesikia kwa nani?
Wala hastahili lawama, pamoja na kupotoka kwenye leadership ethics lakini hiki si kipindi cha mchonga... A conservative man full of ethics and leadership morals... FULLY...!!! .
Umri na matumizi ya nyakati vimembeba... After all she is too busy to know what is going around with BASATA n the like... Hivyo....
Kafika ugenini, kafurahishwa kafurahi kawekewa nyegezi... Anyone in this life can vibe! What is BASATA anyway... After all pale sio bungeni zaidi sio Tz.. KanyegekaView attachment 954783
Sijaona kosa hapo.