TANZIA Naibu Kamishna wa Magereza, Julius Sang'udi afariki dunia

Washikaji, Corona ipo, achaneni na wanasiasa wanaopanda madhabahuni kudanganya umma ili msichue tahadhari, mfe, wakati wao wako lockdown
Binamu usiisemee corona tu.

Malaria ipo
Ukimwi upo
UTI ipo
Typhoid ipo
N.k
 
Huko nje Corona ikipamba moto na huku kwetu vifo vinakuwa mfululizo ila sisi inakuwa complications za upumuaji, cardiac arrest na pneumonia.😁!

What a coincidence!
 
Washikaji, Corona ipo, achaneni na wanasiasa wanaopanda madhabahuni kudanganya umma ili msichue tahadhari, mfe, wakati wao wako lockdown
Watu wanakufa kwa magonjwa mengine ya kawaida mnasingizia korona.
 
Attachments

  • Screenshot_20210101-150534_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20210101-150534_WhatsApp.jpg
    101.3 KB · Views: 2
Kabla corona haijaja Watanzania hawakuwa wakifa. Ndio maana kila anayekufa lazima kafa kwa corona a.k.a changamoto ya upumuaji.

Siku hizi Tanzania tuna maendeleo sana madaktari ni wengi hadi nyuma ya keyboard na wanatoa sababu za kifo mtandaoni.
 
Lakini kwanini mkuu hataki kuwa mkweli? Matokeo yake watu hawachukui tahadhari yoyote
Tahadhari lazima, sio kwa corona tuu hata magonjwa mengine
Funika kinywa unapopiga chafya
Nawa mikono kila Mara
Usikae kwenye makusanyiko ya watu
 
Tahadhari lazima, sio kwa corona tuu hata magonjwa mengine
Funika kinywa unapopiga chafya
Nawa mikono kila Mara
Usikae kwenye makusanyiko ya watu
Tahadhari za korona sio rafiki sana kwa utamaduni wetu, mpaka juzi nilikuwa Ferry, dada mmoja alivaa barakoa, mama mmoja mtu mzima sana, akasema kwa dharau uchuro huo, akatokea mdada mmoja akampuga singi Yule mwenye barakoa, zogo likawa kubwa yule dada akaporwa barakoa yake.
 
Corona, Corona. Corona, changamoto ya kupumua.

Iko hivi. Corona virus invade an individual through nose (air entry)

Immediately there is antigen /antibody reaction- ni ugomvi hasa siyo wa kitoto -hii inakuwa kwenye sehemu ya juu ya kifua- puani hadi kooni, katika hatua hii omba antibody zishinde (Watanzania wengi zinashinda ila wazungu zinashindwa vibaya)

Ugomvi huo ukishuka hadi kwenye mapafu,mapafu huvimba ile hali ya kama bleda inaisha, halafu mtu anashindwa kuhema maana mapafu hayapanuki na kushuka.

Baadae changamoto ya kupumua na baadae kifo hutokea.
 
Tahadhari lazima, sio kwa corona tuu hata magonjwa mengine
Funika kinywa unapopiga chafya
Nawa mikono kila Mara
Usikae kwenye makusanyiko ya watu
Tahadhari za korona sio rafiki sana kwa utamaduni wetu, mpaka juzi nilikuwa Ferry, dada mmoja alivaa barakoa, mama mmoja mtu mzima sana, akasema kwa dharau uchuro huo, akatokea mdada mmoja akampuga singi Yule mwenye barakoa, zogo likawa kubwa yule dada akaporwa barakoa yake.
 
Tahadhari za korona sio rafiki sana kwa utamaduni wetu, mpaka juzi nilikuwa Ferry, dada mmoja alivaa barakoa, mama mmoja mtu mzima sana, akasema kwa dharau uchuro huo, akatokea mdada mmoja akampuga singi Yule mwenye barakoa, zogo likawa kubwa yule dada akaporwa barakoa yake
Heheheee watu hawataki uchuro
 
Hatuko serious tuna mzaha mwingi na vifo vya watu.

Sidhani ndugu zao wanajisikiaje wakisoma haya kuwa ndugu zao wanaambiwa wamekufa na Corona wakati wao wanajua ndugu yao kafa na ugonjwa gani.

TUBADILIKE.
hao marehemu Wana ndugu na Wana moyo na wanajisikia vibaya.
kama ni yenyewe sijui kwanini ichukue viongozi
 
Back
Top Bottom