Nahonga pakubwa nakula kidogo

Nahonga pakubwa nakula kidogo

Hivi kuhonga kupoje isijekuwa nahonga na sijui. Kumpa mkeo hela ya nywele, skincare, frequent mitoko na vitu kama hivyo ndo kuhonga au 🤔
 
Kwa jinsi hela navoisaka kwa shida alafu nitoe kizembe zembe hivo mkuu
 
Attachments

  • Screenshot_20250518_163036.jpg
    Screenshot_20250518_163036.jpg
    94.6 KB · Views: 14
kuhonga ni nini sasa
Kuhonga ni kutoa kile cha ziada usichokua nacho ili upewe cha ziada usichokua nacho

Kwa mfano; unataka kumgonga manzi somewhere lazima uandae mazingira ya kumgonga km kulipia bills ndogo ndogo sasa hayo matumizi ndio Hongo
 
kiongozi umeni-konyuzi hapa kwamba unatoa cha ziada ambacho huna?? hii inawezekanaje?
 
Back
Top Bottom