pembankwetu
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 133
- 62
Nahodha ni sifuri kabisa,hamna kitu kafanya fitna kubwa sana Zanzibar wakati yeye waziri kiongozi ilifika hadi akawaidhinishia janjaweedi posho wapate kuwaadhibu na kuwatesa watu kwa kuwaingilia majumbani mwao usiku na kuwatesa na kuwacharaza waya za umemeHuyu jamaa alinikosha kweli kutoa kauli yake eti atawafukuza wanaofanya uzembe, siku ya pili kafukuzwa yeye ***** zake

Ivi hawa watu wanapata hata muda wa kukaa na kutafakari kweli...kila mtu akifukuzwa maahali anakimbila kupokelwa.........nchi hii ina MATATIZO makubwa kweli
Tofauti na Zitto kapiga jimboni na Mkoa wote na sasa Tabora,Zito jeshi la mtu mmoja....Zitto ni nembo ya Upinzani kwa kizazi cha sasaNi desturi kwa sasa rejea-
1.E.LOWASA
2.E.CHENGE
3.NGEREJA
4.MAIGE
5.ZITTO
sasa Nahoza, makubwa....!
sawa.. kwani aliomba kazi ya uwaziri?
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

Tofauti na Zitto kapiga jimboni na Mkoa wote na sasa Tabora,Zito jeshi la mtu mmoja....Zitto ni nembo ya Upinzani kwa kizazi cha sasa