pembankwetu
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 133
- 62
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?