Nahodha kupokelewa kwa shangwe zanzibar

pembankwetu

Senior Member
Dec 30, 2012
133
62
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?
 
Mapokezi haya yameandaliwa na kuratibiwa na CCM wilaya ya mjini,hii nikulionesha bunge kwamba hawakuridhika na maamuzi na mapendekezo ya kamati tokomeza unjangili ya kumtaka awajibike,na pia ni salamu kwa JK.
 
Ni desturi kwa sasa rejea-
1.E.LOWASA
2.E.CHENGE
3.NGEREJA
4.MAIGE
5.ZITTO
sasa Nahoza, makubwa....!
 
Huyu jamaa alinikosha kweli kutoa kauli yake eti atawafukuza wanaofanya uzembe, siku ya pili kafukuzwa yeye ***** zake
 
Nahodha ni sifuri kabisa,hamna kitu kafanya fitna kubwa sana Zanzibar wakati yeye waziri kiongozi ilifika hadi akawaidhinishia janjaweedi posho wapate kuwaadhibu na kuwatesa watu kwa kuwaingilia majumbani mwao usiku na kuwatesa na kuwacharaza waya za umeme
 
Ivi hawa watu wanapata hata muda wa kukaa na kutafakari kweli...kila mtu akifukuzwa maahali anakimbila kupokelwa.........nchi hii ina MATATIZO makubwa kweli
 
Huyu jamaa alinikosha kweli kutoa kauli yake eti atawafukuza wanaofanya uzembe, siku ya pili kafukuzwa yeye ***** zake
Nahodha ni sifuri kabisa,hamna kitu kafanya fitna kubwa sana Zanzibar wakati yeye waziri kiongozi ilifika hadi akawaidhinishia janjaweedi posho wapate kuwaadhibu na kuwatesa watu kwa kuwaingilia majumbani mwao usiku na kuwatesa na kuwacharaza waya za umeme
 
Ni desturi kwa sasa rejea-
1.E.LOWASA
2.E.CHENGE
3.NGEREJA
4.MAIGE
5.ZITTO
sasa Nahoza, makubwa....!
Tofauti na Zitto kapiga jimboni na Mkoa wote na sasa Tabora,Zito jeshi la mtu mmoja....Zitto ni nembo ya Upinzani kwa kizazi cha sasa
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

Kwanini YAKE ni UPUUZI wakati wa ya ZITO KABWE ni ya KUHUSUDIWA hadi na CCM amepewa JUKWAA la kuwaelezea Wananchi?

Mwacheni na YEYE awaelezee Wananchi yaliyompata...
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

Syo yeye shujaa bali kitachopatikana na wajanja wachache ndio kina matter.
 
sawa.. kwani aliomba kazi ya uwaziri?

Mkuu kuna wakati huwa sikuelewi. Ni kweli hakuomba uwaziri ila kwa vile ni mwanasiasa na uwaziri ni uwanasiasa akateuliwa kuufanya naye akakubali. Akashika msahafu na kwa dini yake akaapa kuilinda na kuitumikia Katiba kwa uwezo wake wote.
Mwisho akamalizia " Ewe mwenyezi MUNGU nisaidie"
Hakufanya hivyo na akavunja kiapo chake kwa misingi ya dini yake. Ushujaa huo wa kupokelewa kwa mbwembwe unatoka wapi? Au sijakuelewa MMkj?
 
Tofauti na Zitto kapiga jimboni na Mkoa wote na sasa Tabora,Zito jeshi la mtu mmoja....Zitto ni nembo ya Upinzani kwa kizazi cha sasa

Nembo ya upinzani dhidhi ya CDM na si vinginevyo. Kizazi kipya hakihusiki asilani. Angekuwa nembo ya upinzani kwa kizazi kipya angeonesha utofauti kati yake ya Ng'wigulu Nchemba na Emanuel Nchimbi. Wote hawa wanacheza siasa chafu Tanzania. Je siasa chafu ni nembo ya kizazi kipya hapa nchini?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom