Nahodha kupokelewa kwa shangwe zanzibar

Nahodha kupokelewa kwa shangwe zanzibar

Tofauti na Zitto kapiga jimboni na Mkoa wote na sasa Tabora,Zito jeshi la mtu mmoja....Zitto ni nembo ya Upinzani kwa kizazi cha sasa

Anapata wapi fedha za kusafiria na kuandaa mikutano mikoa yote hiyo sio kama kuandaliwa na CCM!!! Halafu mkiambiwa Zitoo ni kibaraka wa magamba mnabisha!!!
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

Nchi hii ina watu wa ajabu sana
 
Mimi nashangaa watu kuacha kujadili masuala yenye maana nyie munamjadili a FAILED nahodha. Huyu jamaa alipigwa na chini ZANZIBAR na kuokotwa na Kikwete. Sababu ya kukutaliwa ZANZIBAR ni nyingi moja wapo ni pale alipokuwa akihamasisha watu kupiga kura ya HAPANA wakati wa kutafuta serikali ya umoja wa kitaifa. Kikwete kwa huruma zake alimpa wizara mbili ya Mambo ya Ndani na Ulinzi ambapo zote zilimshinda na kufukuzwa. Leo kupokewa kwa kishindo fisadi huyu kunanishangaza, ni bora angebaki huko huko Tanganyika kuliko kurejea na kuja na fitina nyengine.
 
Tatizo ni umaskini na elimu ndogo kwa tzn. Mafisadi wanatumia nafasi hiyo, hasa kwa nguvu ya pesa kufanya wanavyotaka.
 
wtz tunadhauliwa na hawa watu wanaojiita wanasiasa rejea mapokezi ya kalamagi,lowasa,chenge,zitto ngeleja n.k
 
Tofauti na Zitto kapiga jimboni na Mkoa wote na sasa Tabora,Zito jeshi la mtu mmoja....Zitto ni nembo ya Upinzani kwa kizazi cha sasa
Ukimlea vibaya mwanao kwa kisingizio cha kumpenda basi hata ukipewa taarifa kuwa anapiga wenzake mawe utasema AMECHOKOZWA. Hivyo hiyo Post yako inaonyesha mapenzi Binafsi tu kwa Zitto ila ukweli ni kuwa ni mhalifu tu kama wengine, sema tu nyota yake inang,aa kwasasa ndio maana hata kama angekuwa ameiba msikitini angepokelewa kama shujaa. Mngeniambia LOWASA ndiye shujaa wa kweli basi ningewaelewa maana ameshafanya mambo mengi makubwa na magumu yanayoonekana hasa katika kuthubutu kuhoji uhalali wa EGYPT kuwa na VETO POWER OVER LAKE VICTORIA. Leo hii shinyanga,kahama nk wanapata maji, ambapo tangu ukoloni na baada ya uhuru ilikuwa inaonekana haiwezekani kuvuta maji hayo kwakuhofia migongano na Egypt na Uingereza. Tukumbuke Egypt ilisha declare kuwa taifa lolote litakalo temper na Mkataba uliyoipa VETO hiyo basi hakutakuwa na majadiliano zaidi yakuitandika kijeshi kwani Maji hayo kwao ni zaidi ya kitu chochote. Ila Lowasa alipanda ndege hadi CAIRO nakuwapa darasa lililowaingia akilini. Wengi walijua anakwenda kupoteza muda tu.
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

Ni mila na taratibu za CCM
 
Kama kapokewa kwa shangwe ni ndugu na rafiki zake tu lkn huko zanzibar wenyewe wamechoka nae kwa kiburi chake,ana kiburi na jeuri sana nahodha,atabaki na uwaziri kiongozi mstaafu tu na ubunge wa mwanakwerekwe,lkn hafai uongozi hata kidogo.
 
Siasa za kijinga eti mtu anafanya makosa halafu tunamuona shujaaaa ------- sana
 
Alishatueleza lembeli yeye (vuai) atawaeleza nin wananchi.

Oh really? Hizo ni shutuma sawa na za wa chadema Umeona Kagasheki alijitetea uliona Mathayo David Mathayo alijitetea dont leat a single entity down for your cause buddy U HAVE TO FIGHT FOR YOUR RIGHT GET IT
 
Mimi nashangaa watu kuacha kujadili masuala yenye maana nyie munamjadili a FAILED nahodha. Huyu jamaa alipigwa na chini ZANZIBAR na kuokotwa na Kikwete. Sababu ya kukutaliwa ZANZIBAR ni nyingi moja wapo ni pale alipokuwa akihamasisha watu kupiga kura ya HAPANA wakati wa kutafuta serikali ya umoja wa kitaifa. Kikwete kwa huruma zake alimpa wizara mbili ya Mambo ya Ndani na Ulinzi ambapo zote zilimshinda na kufukuzwa. Leo kupokewa kwa kishindo fisadi huyu kunanishangaza, ni bora angebaki huko huko Tanganyika kuliko kurejea na kuja na fitina nyengine.
Aaaa chukueni tu shipa lenu.
 
Acha matusi mh. kwahiyo "mashipa" ndo yanatakiwa Tanganyika tu na sio Zanzibar?
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?

Mkuu hivi huu uzezeta utaisha lini ubongoni kwa watanzania?mimi ni mmoja wa watu ninaopata shida sana kuhusu huu uzezeta wa akili
 
sawa.. kwani aliomba kazi ya uwaziri?

Muungwana Mwanakijiji... katiba mpya ikiwa na kipengele cha Mawaziri kutokuwa wanasiasa ndo mwarobaini.

Hawa wanasiasa wanaharibu sana Nchi yetu....mtu utakuta ni Kada na katibu wa Chama, then anakuwa Waziri. Conflict of interests...
 
Aliyekua waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Shamsi Vuai Nahodha kesho Alhamis atapokewa kwa shangwe katika bandari ya zanzibar,ambapo baadae jioni atafanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya Alabama mjini Unguja,
My take tuache siasa za upuuzi mtu kafukuzwa uwaziri kwa makosa ya kutokuwajibika sisi ndio tunamuona shujaa?
pembankwetu
Unaongea pumba kabisa na kuwapotosha wana jamvi humu jf., ukisikia Shamsi anapokewa kwa shangwe haimaanishi watu wanampenda ila wazanzibar wameamua kufanya hivyo kwa kumkejeli kutokana na kuisaliti Zanzibar na kwamba sasa amefilisika kisiasa.

Amekuwa akiitakia Zanzibar mabaya na kuisaliti kwa kujipendekeza Tanganyika lengo lake akiendelea kuwa waziri dodoma imchague kuwa rais wa zanzibar baadae., sasa amekula na chua hana pa kushika mana alikuwa mgombea mwenza dodoma 2010 yeye na Dr. Shein Rais wa Zanzibar.,

Hapa ni vicheko, nderemo na kejeli tupu anayoipata., anaambiwa arudi alikotoka 'There is no place for him she is a snake in the grass.,
 
Last edited by a moderator:
Ukimlea vibaya mwanao kwa kisingizio cha kumpenda basi hata ukipewa taarifa kuwa anapiga wenzake mawe utasema AMECHOKOZWA. Hivyo hiyo Post yako inaonyesha mapenzi Binafsi tu kwa Zitto ila ukweli ni kuwa ni mhalifu tu kama wengine, sema tu nyota yake inang,aa kwasasa ndio maana hata kama angekuwa ameiba msikitini angepokelewa kama shujaa. Mngeniambia LOWASA ndiye shujaa wa kweli basi ningewaelewa maana ameshafanya mambo mengi makubwa na magumu yanayoonekana hasa katika kuthubutu kuhoji uhalali wa EGYPT kuwa na VETO POWER OVER LAKE VICTORIA. Leo hii shinyanga,kahama nk wanapata maji, ambapo tangu ukoloni na baada ya uhuru ilikuwa inaonekana haiwezekani kuvuta maji hayo kwakuhofia migongano na Egypt na Uingereza. Tukumbuke Egypt ilisha declare kuwa taifa lolote litakalo temper na Mkataba uliyoipa VETO hiyo basi hakutakuwa na majadiliano zaidi yakuitandika kijeshi kwani Maji hayo kwao ni zaidi ya kitu chochote. Ila Lowasa alipanda ndege hadi CAIRO nakuwapa darasa lililowaingia akilini. Wengi walijua anakwenda kupoteza muda tu.
Mkuu ndo natoka bafuni kuoga maji ya ziwa victoria Kahama!
 
Back
Top Bottom