Upanga mkuu, istoreWakuu, habari zenu?
Nina machine moja MacBook Pro 17-inch, mid-2010, nadhani imekufa WiFi Card yake.
Wapi wanaweza kunibadilishia hii kitu chap kwa haraka?
Mcheck bwana mocka mkuuJamaa watanichaji pesa ndefu wakati issue yenyewe ni kureplace tu hiyo card. Ningeweza kupata hata used WIFI card, mimi mwenyewe ningeweza kufanya.
Wakuu, habari zenu?
Nina machine moja MacBook Pro 17-inch, mid-2010, nadhani imekufa WiFi Card yake.
Wapi wanaweza kunibadilishia hii kitu chap kwa haraka?
Mkuu umetishaaa. Na utundu wangu wote wa mambo ya technology, sikujua uwepo wa uchawi huu.
Naipata wapi hii ndumba?