Nahitaji Water Pump machine

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,055
2,000
Habari wadau

Nahitaji water pump machine aina ya Honda yenye:
Capacity to pump water per minutes
Horse power :
Pump Inc size:
Engine type:

na bei gani na je naweza kupata wapi wanakouza au kama kuna mdau anauza animbie bei yake

nahitaji kwa umwagiliaji shambani kwangu.
kwa yeyote aliyenao au anifahamishe zinakouzwa nzuri zenye ubora mzuri
 
snochet

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
1,338
2,000
Tafuta ofisi za Davis and Shirtliff....Arusha wana branch oposite meru Posta,naamini wana tawi dar pia...wana pump za 200,000 na zinajaza tank la ltr 2000 in 15 minutes....natumia kwa mwaka wa nne sasa.
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,055
2,000
Tafuta ofisi za Davis and Shirtliff....Arusha wana branch oposite meru Posta,naamini wana tawi dar pia...wana pump za 200,000 na zinajaza tank la ltr 2000 in 15 minutes....natumia kwa mwaka wa nne sasa.
asante sana mkuu ngoja nitawatafuta hao watu asante sana
 
jokielias

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
1,203
1,500
HONDA WATER PUMP TUNAZO, NJOO OFISI ZETU ZA MSASANI KITUO CHA MACHO, UTAONA JENGO LA GHOROFA JEUPE LIMEANDIKWA UBONGO KIDS HAPO HAPO TUPO. NAMBA 0689866100.

Capacity to pump water per minutes: 11OO litres per minute
Horse power : 5
Pump Inc size: 3 inch
Engine type: GX160. Petrol use.

Price: 1.1 Million Tshs.
Warranty: One year.
Guarantee: 10 years of performance.
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
15,905
2,000
HONDA WATER PUMP TUNAZO, NJOO OFISI ZETU ZA MSASANI KITUO CHA MACHO, UTAONA JENGO LA GHOROFA JEUPE LIMEANDIKWA UBONGO KIDS HAPO HAPO TUPO. NAMBA 0689866100.

Capacity to pump water per minutes: 11OO litres per minute
Horse power : 5
Pump Inc size: 3 inch
Engine type: GX160. Petrol use.

Price: 1.1 Million Tshs.
Warranty: One year.
Guarantee: 10 years of performance.

Hii ni Brand gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom