Nahitaji Wahasibu watano Dar es Salaam

Nahitaji Wahasibu watano Dar es Salaam

Nahitaji wahasibu 5 wanaokaa Dar Es Salaam

Nahitaji 4 na wewe na uzoefu wa miaka 3

Mshahara ni 3 ni 700k kabla ya makato

Mmoja awe na uzoefu wa miaka pamoja CPA.

Mshahara ni 1.5m kabla ya makato
ndio nini acheni kuaribu matangazo ya watu
 
Nahitaji wahasibu 5 wanaokaa Dar Es Salaam

Nahitaji 4 na wewe na uzoefu wa miaka 3

Mshahara ni 3 ni 700k kabla ya makato

Mmoja awe na uzoefu wa miaka pamoja CPA.

Mshahara ni 1.5m kabla ya makato
admin naomba huyu mtu ashuhulikiwe kwanini anabadili matangazo ya watu
 
CpA unipe laki 3 ? Upo serious ? Ama umekatwa kichwa ? Hata nikienda site kujenga (saidia fundi)kwa siku nakunja 15-20, hapo sina ujuzi... mafundi wanakula 40-60, unakatwa !!!!! Mna utani nyie ......
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
CpA unipe laki 3 ? Upo serious ? Ama umekatwa kichwa ? Hata nikienda site kujenga (saidia fundi)kwa siku nakunja 15-20, hapo sina ujuzi... mafundi wanakula 40-60, unakatwa !!!!! Mna utani nyie ......
Mbona amesema CPA mshahara 1.5M hujaona?
 
Wabongo vilaza wengi wanaogopa kazi...
Wameshazoea kazi za mhasibu wa Halmashauri daraja la II, wanazugazuga tu...
 
tuma cv ata madereva tunaitaji we tuma cv nikupe maisha acha maneno
ata kama wewe ni baunsa tuma cv nikupe connection kuna wachina kila siku wanatafuta wasaidizi
 
Nahitaji wahasibu 5 wanaokaa Dar Es Salaam

Nahitaji 4 na wewe na uzoefu wa miaka 3

Mshahara ni 3 ni 700k kabla ya makato

Mmoja awe na uzoefu wa miaka pamoja CPA.

Mshahara ni 1.5m kabla ya makato
Umeshawapata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom