Nahitaji Wahasibu watano Dar es Salaam

Nahitaji Wahasibu watano Dar es Salaam

Mkuu naomba Kazi Nina shahada ya Maendeleo ya jamii nipo flexible Nina basic computer skilll Nina communication skills lakini pia Nina Management skills naweza kuendesha gari na bajaj.. kwasasa nipo mkoani tabora ila naweza kuja popote kwa gharama zangu.
Ahsante
 
nitumie cv
 
CpA unipe laki 3 ? Upo serious ? Ama umekatwa kichwa ? Hata nikienda site kujenga (saidia fundi)kwa siku nakunja 15-20, hapo sina ujuzi... mafundi wanakula 40-60, unakatwa !!!!! Mna utani nyie ......
usiongee sana kama una elimu niambie nikupe mchongo
mtu analipwa kulingana na elimu sasa hauna elimu unataka upewe milion kichwani upo sawa
 
usiongee sana kama una elimu niambie nikupe mchongo
mtu analipwa kulingana na elimu sasa hauna elimu unataka upewe milion kichwani upo sawa
wewe kama unavyeti niambie nakupa connection bila chenga usiongee kama mtoto wa miaka kumi au umekariri watu wote humu ni matapeli ??? lete vyeti nikupe mchongo kulingana na elimu yako
 
mimi humu hatuaji ila natoa michongo kwa wana wote uwe na elimu au hauna elimu ila uwe na akili timamu tu na namba ya NIDA ili tujue kama ni mtanzania kweli au jambazi
 
mimi nataka nipunguze uwizi na ujambazi mtaani unaotokana na ugumu wa maisha nimeshaingiza watu kibao tu alafu bure tu wewe kama unaweza nicheki dm
 
usiongee sana kama una elimu niambie nikupe mchongo
mtu analipwa kulingana na elimu sasa hauna elimu unataka upewe milion kichwani upo sawa
CpA laki 3 sio 😁 .....
Sawa hayo mabeseni kauze mwenyewe kenge
 
ulishawai kuona kazi za mabeseni unapewa form ya hosp? ukajaze na daktari asign ?? au NSSF,WCF, au mkataba ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom