NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,590
Habari za uzima wakuu, I hope ni wazima macomredi wote wapambania vyama pamoja na taifa kwa ujumla.
Niende kwenye point moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni kijana mtanzania ninae vutiwa sana na siasa.
Mpaka hivi sasa ninavyoandika huu uzi nimeamua binafsi kujifunza siasa safi japo kua bado sijapata maamuzi ya kujiunga na chama chochote ndani ya hii nchi.
[emoji117]Msaada mkubwa au ushauri ninao uhitaji toka kwenu makomredi, mnisaidie vitabu gani nisome ambavyo vitanifunza siasa safi pamoja na uongozi bora na kuniongezea fikra yakinifu ili nitakapo ingia kwenye siasa niwe ni mtu niliyeiva.
NB: Mzungu hana tofauti na mandonga[emoji41]