baraka jr 2016
Member
- Jul 26, 2016
- 67
- 54
Mungu akubariki sana Kaka. Asante kwa ushauriVizuri sana mwanachama sasa ni hivi
1. Punguza starehe fanya mambo ya maendeleo,kumbuka hicho ni kibarua kinaweza kuota nyasi mda wowote ukaadhirika ukaja kuomba kodi hapa.
2. Kumbuka kufanya ibada kila ijumaa na jumapili,muombe Mungu akupe mke mwema(ila sio wa club tena)
3. Tembelea kwenda maeneo tofauti tofauti,umesema uko Rock city nenda hata hapo rock city mall,nenda movie theatre,kwenye maduka humo ndani huwezi jua utakutana na mkeo,nenda beach huko ziwani,kwenye business meetings,seminars,shopping supermarket huko ndio sehem atleast unaweza kukutana na mtu anaeeleweka ila sio club.
4. Fanya savings mapema sio unatumbua tu,kumbuka unataka mwenyewe kujitia kitanzi cha ndoa,hivyo mzigo wa majukumu lazima utaongezeka,utaanza kulisha mtu mmoja zaidi baadae wataongezeka watakuwa wawili,watatu na kuendelea.
5. Ukipata mwanamke mchunguze vizuri(tumia mbinu za kijasusi kidogo) kama je anafaa kuwa mama watoto wako? Huyo angeachia mtoto housegirl au jirani halafu yeye akaenda club.
6. Nimechoka kuandika,fanya hayo kwanza
Nakazia hapaNa unavopenda kwenda club ndio unajimaliza kbs
[emoji23][emoji23][emoji23]Subiri ukatike hicho kifanyio akili ikukae sawa sasa
Asante kwa ushaurimkuu, samahani lakini naomba tu nikuambie acha kuwa fala...utapoteza yoote uliyoyapigania miaka kibao sababu ya huyo FUKUS...
[emoji115] [emoji115]Nakazia hapa
Hapana Mkuu, familia yangu ni wakulima na nimekulia Maisha ya kawaida Sana, hata sasa hii kazi ni kwa uwezo wa Mungu tuWewe unaonekana mboga Saba,madem umewajulia ukubwani. Hata tukikushauri hapa haisaidii kwanza endelea kuonja joto ya jiwe. Ili nawe uje kuwa mshauri kwa watoto wetu
Sawa KakaIf you're serious; SONGA MBELE.HAKUNA JIPYA HAPO.
Shukrani kwa ushauriWewe ni Pimbi.Kama ulikubaliana naye awe na huyo mzee huku ukijua basi wewe ni kiazi huhitaji ushauri wowote zaidi ya kutukanwa
Mapenzi upofuMmmh mbona kama leo Wanaume zamu yetu kuzalilishana!!! Like seriously kabisa nakaa pembeni demu wangu yule pale namuona na Kizeee.
Jamani jamani Uuuuuuuwwiiiiiii. .Mola aniepushe mana kitakacho tokea report ya Ma Dr's ndio itaeleza huyo marehem amekufaje.
Amen!!Mungu akubariki sana Kaka. Asante kwa ushauri
Sio kwa upofu huo ulionaoMapenzi upofu
Mtihani kivipi unacomplicate tu mambo ww!!Asante Kaka kwa ushauri. Safari hii nitajitaidi kuukabili huu mtihani