Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Nahitaji ushauri wa haraka, moyo unauma

Acha upuuzi wewe, unataka hadi siku uwe kaburini au Gereza la Butimba ndio akili ikurudie. Achana na huyo mwanamke
 
Brother,.kwanza Pole na Majanga..

Huyo mwanamke sio tu moto wa kuotea mbali ila ni moto usio oteka, mkimbie kama ukoma.
Ni nyoka na hawez badilika leo wala kesho.

Na usikute hao EXs wake nao wanampenda huyo mdada kama ww unavyompenda, so jinsi anavyowapanga wao na ww huko mbelen utapangwa hivyo hivyo.

GET RID OF HER, and her friends, sehem anazoenda usiende, wala sehem ambazo mlikuwa mnaenda usiende maana zitarudisha kumbukumbu.

MOVE ON Brother, na take it easy wakat unatafuta msichana mwingine.

Br
 
Yaani unayajua yote hayo kuhusu uyo mdangaji na bado unaendelea kumlilia tu aiseee mpige chiniiiii acha ubwege
 
watoto walivyo wengi mkuu unahangaika na mmoja mzee?......ila unachokosea kimoja unampigaje mwanamke??? assume mshua wako angekua anampiga mama yako ungejisikiaje? mwanamke ni kama mama yako mmeshindwana move on acha ubondia unaweza kuja kuua
 
Sometimes mapenzi yanawablind watu sana,kuna mtu unaweza kuona kapotea kabisa,ukamshari lakini akakuona wewe ndo hupendi mahusiano yao,mkuu hapo huna mtu
Asante kwa ushauri Kaka
 
Kweli kabisa Bro, nimefail wala Hakuna ubishi, ndio maan nimekuja kwenu mnisaidie kimawazo
Vizuri sana mwanachama sasa ni hivi
1. Punguza starehe fanya mambo ya maendeleo,kumbuka hicho ni kibarua kinaweza kuota nyasi mda wowote ukaadhirika ukaja kuomba kodi hapa.
2. Kumbuka kufanya ibada kila ijumaa na jumapili,muombe Mungu akupe mke mwema(ila sio wa club tena)
3. Tembelea kwenda maeneo tofauti tofauti,umesema uko Rock city nenda hata hapo rock city mall,nenda movie theatre,kwenye maduka humo ndani huwezi jua utakutana na mkeo,nenda beach huko ziwani,kwenye business meetings,seminars,shopping supermarket huko ndio sehem atleast unaweza kukutana na mtu anaeeleweka ila sio club.
4. Fanya savings mapema sio unatumbua tu,kumbuka unataka mwenyewe kujitia kitanzi cha ndoa,hivyo mzigo wa majukumu lazima utaongezeka,utaanza kulisha mtu mmoja zaidi baadae wataongezeka watakuwa wawili,watatu na kuendelea.
5. Ukipata mwanamke mchunguze vizuri(tumia mbinu za kijasusi kidogo) kama je anafaa kuwa mama watoto wako? Huyo angeachia mtoto housegirl au jirani halafu yeye akaenda club.
6. Nimechoka kuandika,fanya hayo kwanza
 
mkuu, samahani lakini naomba tu nikuambie acha kuwa fala...utapoteza yoote uliyoyapigania miaka kibao sababu ya huyo FUKUS...
 
Mm sikulaumu ndivyo mapenzi yalivyo, hata mm huwa napenda kwa staili yako, even mke nliye naye tulipitia drama kama zako, nikazuiliwa kumwoa. Ila kwa sasa katulia but mm nimekuwa kicheche zaidi ya alivyokuwa.
Mtikhani
 
Wewe unaonekana mboga Saba,madem umewajulia ukubwani. Hata tukikushauri hapa haisaidii kwanza endelea kuonja joto ya jiwe. Ili nawe uje kuwa mshauri kwa watoto wetu
 
Ivi unawezaje kumpenda mtu kiasi hicho hata kama anafanya vizuribkitandani sitavumilia kwa ujinga kama huo chalii
 
Pole sana Mkuu... naomba huu msemo uuelewe vizuri kabisa "Malaya ni malaya tu hata umfadhili vipi hawezi badilika kamwe "....

Ushauri wangu kwako ni wewe kumfungia vioo na uanze kujifunza kuyaenjoy maisha ukiwa mwenyewe....

Ni hayo tu kwa leo mkuu...
Asante sana kwa ushauri. Hakika mnazidi kunitia nguvu
 
Back
Top Bottom