Hapo niliteleza na nakiri nimekosea. NitajirekebishaWakati mwingine unapogombana na GF wako usipende kuzungukia marafiki zake tabia mbaya
Asante KakaSijasoma yote. Ila kwa maelezo ya awali ninachokushauri: ACHANA NA HUYO MWANAMKE HARAKA SANA. Malaya haolewi...
Asante sana kwa ushauriHd hpo mkuu inatosha kwakp kupata somo move on wote tunewh kupend na kusrma nashndwa kumuacha lkn utasahau tu



. Hakika kizazi cha watoto wa kiume wanaojitambua kinapotea. Sasa sijui unataka ushauriwe nn wakati wivu unao lakn mwenzako unamkuta na wanamume wengne tena laivu.
basi Kama Ni hivyo huyo mwanamke hafai keshazoea umalaya,haitawezekana kumbadilisha. Na kiasi Fulani inaonekana umefall kwake kwa hiyo cha msingi we mpotezee. Futa namba yake,block hadi kwenye social networks,mtaani mkwepe. Baada ya miezi kadhaa utaanza kuzoea. Then tafuta future wife kulingana Na sifa utakazo ila huyo hakufaiHapana Mkuu, familia yangu ni wakulima na nimekulia Maisha ya kawaida Sana, hata sasa hii kazi ni kwa uwezo wa Mungu tu
Acha tuu Mkuu. Naamini jaribu hili litapitaYani huyo dada umemuona kwa macho yako mawili pasipo shaka yuko na huyo mzee, halafu pia na ex wake, na wewe unaweka matarajio yako hapo hapo. Hakika kizazi cha watoto wa kiume wanaojitambua kinapotea. Sasa sijui unataka ushauriwe nn wakati wivu unao lakn mwenzako unamkuta na wanamume wengne tena laivu.
Asante kwa ushauribasi Kama Ni hivyo huyo mwanamke hafai keshazoea umalaya,haitawezekana kumbadilisha. Na kiasi Fulani inaonekana umefall kwake kwa hiyo cha msingi we mpotezee. Futa namba yake,block hadi kwenye social networks,mtaani mkwepe. Baada ya miezi kadhaa utaanza kuzoea. Then tafuta future wife kulingana Na sifa utakazo ila huyo hakufai
Basi tafuta mwanamke mwingine, hasa pata ushauri toka kwenu au familia yenuHapo niliteleza na nakiri nimekosea. Nitajirekebisha
Thanks Sista.. Kweli kbsPole sana, lakini nilichokiona kwako ni kuwa unajitahidi sana kulifanya duara liwe pembe tatu, na mpaka sasa bado hujatanabahi kuwa hilo ni jambo ambalo haliwezekani, pole sana.
AsantePole kwq kumpenda changudoa