Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

Nahitaji ushauri: Nimechoka kukaa ukweni

hapo kwenye kila kitu kununua baba mkwe hadi nguo za mke wako!
aaaah! unatushusha wanaume wenzio kama nyumba unayo ondoka hapo!
aaarrgghh!!! na ningekuwa karibu ningemgegeda mkeo akili ikukae sawa!
Siafadhali angekua anamnunulia mwanae tu! Kunasiku alininunulia suti, mpaka leo ipo tu ndani sajawahi kuivaa.
 
Mi nahisi umeolewa, ilo la kuwa umeoa siliamini saana!!!
Kwamujibu wa taratibu za ndoa ni kweli nimeoa, lakini kwa mazingira niishiyo sina tofauti na alie olewa. Nyumba mwenye kauli ni babamkwe tu! aah inaudhi kweli.
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?

mkuu ww kabila gan? Hivi wakat unachukua uamuz huo wazaz wako walichukua hatua gan? Hivi ww ni mwanaume uliyekamili kweli? Au ndio tamaa zenu za kutaka mtelemko?
 
nachukia wanaume wasiokuwa na maamuzi kama ww. ukishaoa mke ni wako, na ww ndio baba mwenye nyumba, unatakiwa uwe na maamuzi yanayohusu familia yako
 
Nimebaki kushangaa tu!!!!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
ndio nmeamin ww n mwanaume suluali! Unakubali kuolewa?! Hapo ujitambue ww ndo mwanamke huoni hata haya kuongea maneno kama hayo?! Otojwike gwe nnjanga ugwe naloli
 
Mkuu maneno yako yamenifanya nihisi kama Kuna nyembe imenikwama kooni mwangu. Kunasiku niliamka na Msuli nikavaa na singlendi kwa juu nilipo toka nje usokwauso na babamkwe, nasiki ananiambia sipaswi kuvaa mavazi hayo time za hasubuh kwakua mimi sio mwenye nyumba .
Kitoabu umeona hayo manyanyaso ungekuwa kwako ungetoka hata na kanga ya mkeo ukakaa barazani ila kwa kuwa uko kwa watu huruhusiwi
hebu fanya maamuzi ya kiume mkuu na uwe mwanaume kwa muda mfupi na uonyeshe msimamo wako
Ondoka kusanya kila kilicho chako wakiamka asubuhi wakukute nje na mabag yako umeyaweka na mkeo na mtoto wako waambie mimi ndo naondoka kama kuna lolote nitakuja kuwasalimia tutaongea maana mkeo ushamuoa na una ndoa nae ni wako na mahari umeshatoa wasikusumbue na kukuwekea vikwazo
 
Last edited by a moderator:
Moja ya mitihani ninayo
kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia
sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali
kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu
(Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana,
tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya
maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi
kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu.
Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani
ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi
kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini.
Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa
nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado
ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa
kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo
nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa.
Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne
sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko
kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto
keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema
bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae
hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua
mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo
buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu
wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa
wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi
utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka
nguo za mke wangu pia?

kwel apo mkeo ana raha...coz am sure huwez ata kucheat...mh ukipata uo uhuru sipati picha apo mtaani si watakoma kwa hasira yako ya kubanwa...teh
 
kwa hiyo utakakua na furaha ukiwa na uwezo wa kumkata makofi mkeo bila nduguze kufahamu?
Amna dada yangu, ila mwanamke akiwa kwao anajiamini kusema/kufanya chochote akitakacho (japo mke wangu hajawahi kuni fanyia hivyo) kwaimani kua hawizi kupigwa mbele ya baba/kaka yake akiwa anashuhudia.
 
Wengine hata likizo tu tunalala nyumba za wageni badala ya ukweni wewe umepewa chumba utakuwa umerogwa si bure. Baada ya kusoma ujumbe huu kafungashe uende kwako acha kututia aibu.
Mkuu, siko peke yangu, kwani nahao dada zake pia wameolewa lakini wote wakohapo na wame zao. Yani sera ya huyu mzee nikua ukitaka kuoa kwake basi ukubali kuishi kwake.
 
Mkuu, siko peke yangu, kwani nahao dada zake pia wameolewa lakini wote wakohapo na wame zao. Yani sera ya huyu mzee nikua ukitaka kuoa kwake basi ukubali kuishi kwake.

Kama ni hivyo angalia huyo Baba mkwe anaweza kuwa anawageng'enda ndio maana hataki kuwaachia wanae. Hapo sasa umeolewa na si kuoa ondoka hapo nyumbani haraka na uende kwako mueleze mkeo akikataa nenda kaishi kwako kuliko kuwa mtumwa kwenye ndoa yako mwenyewe.
 
Kaka, huyu ndugu yetu nafikiri anatatizo kubwa, na tatizo lenyewe ni kushindwa kutambua haki yake ya kuwa mkuu wa nyumba na ndoa yake mwenyewe kama vitabu vya dini vinavyotanabaisha!

Lakini kwa sasa, maadamu amegundua kuwa hakufanya uamuzi sahihi kuishi ukweni, nafikiri anahitaji sasa kufanya maamuzi ya kiume. Anapaswa kuchukua vilivyo vyake, naamanisha mali zake, mke wake na mtoto wake na kuondoka na kuhamia nyumbani kwake, huko alikojenga. Hakuna sheria ya ndoa inayomlazimisha muoaji kubaki ukweni, huu ni umburura!

Asijidanganye kumuacha mkewe kama bado wanapendana hata kama wazazi hawataki. Mke ni mali yake maana kamtolea mali na pia wanandoa inayotambulika hivyo hakuna mtu aliye juu yao wa kuwapangia mambo yao ya ndani ya familia yao. Anapaswa kusimama kama mtoto wa kiume.

Eiyer, come this way, ujionee ulimwengu ulivyo na mambo!

Mkuu naunga mkono mawazo yako!
Hebu huyu jamaa atoke huko kwanza ni aibu kuishi ukweni kama huna sababu ya msingi!
 
hii ni stori ya kutunga ama inaukweli??
 
Mkuu, siko peke yangu, kwani nahao dada zake pia wameolewa lakini wote wakohapo na wame zao. Yani sera ya huyu mzee nikua ukitaka kuoa kwake basi ukubali kuishi kwake.

Kama hataki kufuata masharti yako tupa kule
Kwani mwanamke ni huyo tu?
 
Mhhh hapa pagumu sana duh HorsePower hebu kuja kipande hii na babu Asprin na Dark City hii ya mwanaume ukaa ukweli ni balaa
Yaani fanya maamuzi ya kiume acha kulalamika maana hapo onyesha kuwa wewe ni mwanaume na ondoka funga mizigo yako na funga na ya mkeo waambie kaka na dada zake na mkeo na hao wakwe zako kuwa unaenda kwenu na hakuna maswali wala nini
dah ya nini kuteseka aise na kuogopa kujiachia kwako na mkeo na mwanao bana huna uhuru wa kurudi kazini umkiss mkeo au kumkumbatia maana wakwe na ndugu zake wanatoa macho kama mijusi imebanwa na mlango, huwezi mkeo kukupikia kamchuzi ka kuku na katoe harufu huku wakwe wanapika maharage
Huwezi kutoka na kipensi ukajiachia barazani kwa sababu mkwe kakaa hapo hapo na mkewe
Wacha mambo zako bana hebu chapa mwendo haraka sana

Mkuu umenena jambo la busara bhana.
 
Moja ya mitihani ninayo kumbana nayo kwenye ndoa yangu ni mazingira ninayo ishi. Nimevumilia sana lakini sinabudi kusema basi, liwalo naliwe lakini siwezi kukubali kuendelea kuishi ktk nyumba ambayo ni mali ya familia ya mke wangu (Ukweni) Siokwamba nyumba ni mbovu au maeneo ni yakishamba hapana, tatizo nashindwa kujitawala ndani ya ndoa yangu. Nashindwa kufanya maamuzi ya kiume ndani ya ndoa yangu sina kauli kabisa kisa naishi kwenye nyumba yao, nyumba ambayo imejazana kaka na dada wa mkewangu. Siwezi hata kumkata makofi mkewangu pindi aniudhipo kiufupi nipo ndani ya ndoa isiyo nafuraha kwaupande wangu . Hiiyote ilitokana na mimi kukubali kumuoa binti yao. Hiifamilia ni yakibabe sana uwezi amini. Nilipo jitokeza nakutangaza niayangu yakumposa binti yao sharti kubwa nililopewa nikua binti yao hawezi kwenda kuishi mbali nao Kwahoja bado ni mdogo kiumri hivyo anaitaji uwangalizi kutoka kwao. Hivyo ikaamuliwa kama nahitaji kumuoa binti yao basi nikubari tuishi wote hapo kwao hivyo nikakabidhiwa chumba ambacho naona kama ndio kinacho nitesa kwasasa. Nimevumilia dharau kutoka kwa kaka na dada zake kwamuda wamiaka minne sasa ila imefikia hatua nasema nimechoka bola kama mke nikose kuliko kuendelea kuonekana ----. Kama kuzaa tumesha zaa natayari mtoto keshakua. Kama nyuma ninayo tena siyo ya urithi kama mtoto wao walisema bado hajakua sasa teyari ameshakua ushahidi ni huyu mtoto tulie nae hapana bola nikose mke kuliko kuendelea kuonekana ----. Inafikia hatua mpaka mkewangu ambeye ndiye mtoto wao ananionea huruma jinsi ninavyo buruzwa na familia yake? hapa bola niendezangu nyumbani wazazi wangu wanashindwa kujitawala pindi wakija kunitembelea wanakosa uhuru Kabbisa wa kupanga mambo mbalimbali na mimi mtoto wao kisa niko ukweni? Ukowapi utamu wa ndoa ikiwa kilakitu anapanga baba mkwe? Chakula anunue mpaka nguo za mke wangu pia?

kwa jinsi ulivyoandika sijui ni jazba au ndo hata nafasi ya kuandika huna kisa ukweni.
Napata maswali mengi sana ila ushauri wangu ni......................
Hamaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hamia eateli mkuu.
Hakatwi mtu Hapa.
 
hujiskii vibaya kuwa nyumba ndogo kwa baba mkwe??
 
Back
Top Bottom