mkuu upo serious au unatania, humu duniani kuna mambo mengi yanendelea..doh
Bado sijahama ila nipo kwenye mchakato, Siunajua huwezi kukurupuka kama kojo la hasbuh!Kitoabu Umeshahama au bado unang'ang'ania chumba cha mkweo.... Naanza kukubaliana na tusi la wadada, kuna wanaume suruali huku duniani.
Mkuu, kuhama ni lazima hiyo haikwepeki, ilasiku ndio bado sijaijua. Ninacho hofia nikua, itakuaje nikiondoka alafu mkewangu akishindwa kunifuta, ipi itakua hatma ya malezi ya mwanangu? sababu ndiokwanza ana miaka 2 na miezi nane.Post ni nyingi na zote zinamaana. Ni ww kuyafanyia kazi uliyoshauriwa. Tunaomba utupe taarifa! Utahama lini kwa baba mkwe?
BAK nilijaribu kukaa ukwenu nilishindwa nikawaza kabla sijagombana na mtu wacha niondoke zanguNivea naona unampa muda mrefu sana wa miezi mitatu!!! Mke anangoja nini kwao miezi hiyo mitatu wakati mumewe ana sehemu yake ya kuishi!? Kwa maoni yangu mwezi tu unamtosha kujiandaa kwenda kuishi na mumewe katika mazingira mapya, kama akileta za kuleta basi jamaa aendelee kivyake vyake. Tena huyu jamaa ni mvumilivu sana, miaka minne kuishi kwa wake katika manyanyaso kama hayo inahitaji moyo sana, wengine miezi sita tu wangeshasepa haraka sana.
nakiri kwamba baba mkwe aliamua kuongeza mke watatu ambaye ni wewenimeoa, ila maamuzi ya ndoa yangu nathubutu kusema anayamiliki babamkwe.
Ngoja nijaribu kama nitaweza.
Nimeoa, ila maamuzi ya ndoa yangu nathubutu kusema anayamiliki babamkwe.
Mkuu, hatakama ninge bahatika kumuoa Mwanaasha, lakini bado sio kigezo chamimi kuishi ukweni. Kwakweli Kuna mengi ya haibu nimeyaficha ambayo nakumbana nayo kilasiku kwenye nyumba hii. Asikuambie mtu, uhuru nizaidi yakuishi magogoni ndugu yangu.Mkuu kwa koment yako hii nahisi wewe huwezi kuchukua maamuzi, au labda umemuoa 'mwanaasha' hivy umetulia ukweni hapo magogoni iunaenjoymayai yaliyonunuliwa kwa kodi zetu sema tu moyo wako unakusuta
?'
Sasa kuhusu malezi ya mwanangu itakuaje? kweli mwanangu alelewe na mzazi mmoja? Malezi bora yamtoto yanahitaji ushirikiano wa wazazi wawili, hicho tu ndio kinacho niumiza kichwa.we jamaa nia je? yan unakaa kwa wakwe? toka siku ya kwanza ulikosea. cha muhimu waachie mtoto wao usepe coz hata ukisepa nae watakwa mbia umelelwa kwao. dharau palepale
Sasa kuhusu malezi ya mwanangu itakuaje? kweli mwanangu alelewe na mzazi mmoja? Malezi bora yamtoto yanahitaji ushirikiano wa wazazi wawili, hicho tu ndio kinacho niumiza kichwa.
Kuongeza mkewapili vipi wakati me mwenyewe naishi ukweni? Huyo mke wapili atakubali kuja kuishi ukweni kwangu? Ninacho taka ni kujitawala ndani ya ndoa yangu sio kingine.
Kwahiyo huyu mzee wenda akawa ni popobawa enh!!!