khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,225
- 1,549
Nipo katika mahusiano na single mother wa watoto wawili kila mtoto na baba ake, mtoto mmoja yupo kwa baba ake pemba na mtoto mwingine tunaishi nae hapa dar japo nae baba ake yupo ila ameoa mwanamke mwingine na ana watoto pia
Huyu single mother kabila lake ni mzigua kutoka mombo handeni, nampenda sana huyu single mother japo tunapitia mengi sana, namjali sana yeye na mwanae kuhusu mavazi, maradhi hadi chakula , na wiki iliyopita tu nimetoka kumlipia ada ya shule mwanae pamoja na kodi ya chumba na seble kwa miezi sita, tumepanga mambo mengi sana hadi kufikia hatua ya kufanya mipango ya kufunga ndoa maana wazazi wake wanajua na hadi ndugu zake wote wananifahamu na hata mm baadhi ya ndugu zangu wanamjua, tupo kwenye mahusiano huu ni mwaka na nusu sasa.
Cha ajabu ni juzi tu hapa baada ya kumpa mtaji wa kufanya biashara ya kuuza genge naona kabadairika ghafla tu, na hadi kufikia jana ananitamkia kauli ya kusema kwa sasa inatosha anataka abaki mwenyewe na maisha yake na mwanae hivyo haitaji tena tuendelee kuwa katika mahusiano [emoji30],achia mbali kulipa ada ya mwanae na kodi ya miezi 6 nimewekeza vitu vingi sana kwake alafu imagine anakuja kuniambia kauli hiyo, nawaza mengi sana kwa haya maumivu niliyonayo moyoni hadi nafikilia nimfanyie kitu mbaya ([emoji380] ), ila kabla ya kuchukua maamuzi ya kufanya kitu mbaya ([emoji380]) nilikuwa naomba USHAURI WENU HAPA JAMVINI [emoji1488]