Nahitaji ushauri kwenye jambo hili

Nahitaji ushauri kwenye jambo hili

We ni BOYA kabisa,

Hivi wanawake wote hawa ilikosa hadi uchukue aliyezaliwa ovyo kama mbwa na kila mtoto na baba yake?

Hapo bado hujazaa naye walio wako ,

Uboya zaidi unamlipia mtoto ada ilihali baba yake yupo hai!!!

We ni zaidi ya boya!!!!

USHAURI ACHANA NAYE KABISA, TENA AMEKUSAIDIA

TAFUTA MWANAMKE WAKWAKO TENA ASIYE ZALISHWA OVYO!!!!

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Babuu hata kama ndo kupenda, huo ni ufala. Achana na huyo demu aisee... kwanza ana watoto wawili kila mtoto ana baba ake, pili anakutamkia wazi wazi uachane nae we unataka kukomaa umdhuru ya nini? Hicho ni kiwanja chenye mgogoro usijenge hapo sheikh.. Wanawake wamejaa wengi tu mtaani wanakosa wanaume mpaka wanatembea instagram na mabango..

Em kuwa mwanaume kamili basi, kuna watu mnatusikitisha sana. Na unalipa ada ya shule ya mtoto na mahitaji yake wakati baba ake yupo.. we jamaa unashangaza sana.

Asante kwa ushauri babuu
 
Hakuna kikubwa ulichopoteza zaidi ya muda wako, kaa chini tafakari hivi ukimfanyia ubaya huyo mtu ni familia yako na ndugu zako ndio watakaoteseka sheria ikifuata mkondo wake. Mwanaume hazeeki mshukuru Mungu una kipato ukiendelea kumfuatilia yy ndio atakufanyia kitu kibaya uje ujutie maisha. Mshukuru Mungu kakuonyesha ni mtu wa Aina gani ulikuwa nae kwenye mahusiano fanya ondoka Meachem use kama umetoa Sayaka kwa Yakima usiumie kwa kile unachohisi umepoteza Bali mshukuru Mungu kwa matatizo aliyokuepushia

Shukran kwa ushauri mzuri [emoji1431]
 
shukuru kwa kuona rangi yake. usilazimishe mapenzi, alikuwa hakupendi ila alitaka msaada wako tu. sasa anaona anajiweza. usimdhuru tafute mwingine.

[emoji1431][emoji1431][emoji1488][emoji1431][emoji1431]
 
umemfungulia genge
wateja watakuja kumuoa

yaani mtu ana watoto wawili
kila mtoto na baba ake
bado unang'ang'ania hapo
mpe mtoto wa tatu na wewe umkimbie

mimba zinatoka sana
 
Unaweza ukaona Muda wako wa Mwaka Mmoja na hivyo vigharama vya kodi na ada ya mtoto wake Shule ukaona umemsaidia sana. Amini nakuambia kabla hujakutana ane wako pia ambao before walimsaidia wakiwemo hao waliomzalisha! Sasa wewe utakuwa ni kijana Domozege huna hata mtoto unakuja kuhanagaika na wanawake kama hao Masingle Mother?

Wazazi wako kama wapo hai wakipata hizi Taarifa ukawaeleza na hiki kisa watapiga ukunga
 
Ila watu jamani, we utauweza mfupa ulomshinda fisi?unataka ushauri gani kwa mfano wakati ushaambiwa hutakiwi?
 
Unaweza ukaona Muda wako wa Mwaka Mmoja na hivyo vigharama vya kodi na ada ya mtoto wake Shule ukaona umemsaidia sana. Amini nakuambia kabla hujakutana ane wako pia ambao before walimsaidia wakiwemo hao waliomzalisha! Sasa wewe utakuwa ni kijana Domozege huna hata mtoto unakuja kuhanagaika na wanawake kama hao Masingle Mother?

Wazazi wako kama wapo hai wakipata hizi Taarifa ukawaeleza na hiki kisa watapiga ukunga
Kujitia wanajua sana mapenzi
 
Mimeishia tu kwa mzigua tena mwenye watoto wa kila baba aisee unakifua na udogo kichwani

Mzigua na mzaramo ni sawa hapo amesharidhika na genge na kodi so subiri kurogwa tu

USSR
 
Kuna watu wanasema single mother ni wakupiga na kusepa, me nakataa kabisa. Kama mwanamke ni single mother mpitie tu mbali, unaweza ukasema uchape usepe matokeo yake ukanasa [emoji3]
 
nina watoto watatu mkuu
 
Samahani nimetumia neno kali BOYA NAOMBA KULIFUTA HILO NENO.

ILA MDOGO WANGU NILIGHADHIBIKA KUSIKIA KUWA NA MWANAMKE WA AINA HIYO.

NAOMBA UACHANE NAYE MARA MOJA.

TENA WEWE UNA MUNGU.KAKUSAIDIA .UKILAZIMISHA JUU YAKO .ILA MUNGU KESHAKUFUNULIA YAJAYO

Wanawake wapo wengi.

kweli kabisa asante kwa ushauri kaka
 
Kuna watu wanasema single mother ni wakupiga na kusepa, me nakataa kabisa. Kama mwanamke ni single mother mpitie tu mbali, unaweza ukasema uchape usepe matokeo yake ukanasa [emoji3]

yaan as me kabisa mwisho wa siku nikaja kuzama mazima daah
 
Mimeishia tu kwa mzigua tena mwenye watoto wa kila baba aisee unakifua na udogo kichwani

Mzigua na mzaramo ni sawa hapo amesharidhika na genge na kodi so subiri kurogwa tu

USSR

[emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
 
Back
Top Bottom