Nahitaji Ushauri hii kwa wanaume wenzangu tu

Nahitaji Ushauri hii kwa wanaume wenzangu tu

ni
..dogo acha kudhani hela itakusaidia acha kudhani kutukuza mwanamke ndo utapendwa nakupa mtihani mdg km utaweza unaweza mpata jaribu kumtreat as if huwezi kua nae yaan km umeona kademu fln hv ka baya ambcho yaan upo nacho km rafiki lkn kamwe huwezi kua nacho do that with confidence no favour,giver her a gift of missin you,no gifts,disagree most of time,no kumsifia,no talkin about her relationship,no smile hovyo,show her tht you stop loving her completely,say no 75% of time....angalau hapo ataanza kukuangalia kwa jicho la mahaba be unpredictable
rahisi sana kwa maneno ya kuongea nashindwa maana nikimuona tu nadhani macho yangu yananiangusha. ila ntajaribu kumchunia.
 
nachoamini hakuna mwanamke aliyenizidi akili hata awe nani

wewe umeshakubali kuzidiwa akili lazima atapangua mitego yako tu

tatizo labda unamuonesha unampeda sana mpaka anahisi unamdanganya au unataka mafanikio yake act like u don't care
 
Aisee!,mtembelee na usichoke wala usitumie pesa mingi
Huyo dogo alichokosea ni kumuacha mtoto wa kike na ukame kwa muda mrefu,binti alitegemea dogo angeomba game na atamtolea kiu yake,lakini dogo akaendeleza ushosti na binti,hiyo ni wrong kabisaaa,dame anatakiwa akunwe mapema,sasa dogo kawa nae miaka 5 bila kupiga,binti kamchukulia ni Padre fulani hivi.
 
Mpwa ulikosea kumfanya dada ako /rafiki mpenzi, wewe tumia muda na fedha mpaka atakuelewa.
 
Mimi siamini sana katika urafiki wa mwanamke na mwanaume. Hata cku moja japo mnaweza kuact as friend bt cku moja kuna mmoja wenu lazima hisia za mapenzi zitamwingia , sasa basi ni kosa kubwa sana kama msichana umempenda kumweka kama rafiki yako pia tafiti nyingi zinaonyesha mwanamke akiwa rafiki yako sana mwishoni utakuwa adui yake mkubwa
 
19 kamaliza chuo. Chuo gani hicho? Alafu miaka mitano hujampata tu au nawewe haupo smart enough? Nenda na swaga za maana bro acha kung'ata kucha
 
Shida yako unatafuta habari za mwanaume mwingine ili upate penzi lake kwa mwanamke .wenye akili kama umsifiavyo hutompata anakuona mbea usiyejiamini unataka kutumia mapungufu ya jamaa kuwa na mwanamke mwingine ili umpate hapo unakosea wanawake wote wanajua kwa umri wake hawezi kupata meanamme ambaye hana demu. Hivyo hata kwako anajua unaye mwingine. Angalia vyema mbinu zako za kutongoza
 
rubani ni mlala hoi?

WANAWAKE BANA....
HIVI BONGO ZETU ZINA VINANIHII GANI???
JAMAA KASEMA KABISA USHAURI UTOKE KWA WANAUME TUU....
NA NYIE MATUMBO MBELE....

MIMI SIPENDAGI UZI WANGU NI SPECIFY GENDER HALAFU MTU AKURUPUKIE TUU...
NAWATUKANAGA KISHENZ YAAN..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
WANAWAKE BANA....
HIVI BONGO ZETU ZINA VINANIHII GANI???
JAMAA KASEMA KABISA USHAURI UTOKE KWA WANAUME TUU....
NA NYIE MATUMBO MBELE....

MIMI SIPENDAGI UZI WANGU NI SPECIFY GENDER HALAFU MTU AKURUPUKIE TUU...
NAWATUKANAGA KISHENZ YAAN..

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
usinizoee pita hivi
 
Huyo ameshakuwa dada yako muheshimu tu anakujua vyema humuwezi ndo maana umekaa nae 5 year fu we NYOKA WA MDIMU unalinda ndimu wenyewe wanachuma na kula
 
M naamini ukikaa n tooth pick mdomon kwa muda mref lazma uitafune, we naona uliiweka sikion badala ya mdomon. Pole sana mkuu naona imekutoboa ngoma ya skio
 
Mimi siamini sana katika urafiki wa mwanamke na mwanaume. Hata cku moja japo mnaweza kuact as friend bt cku moja kuna mmoja wenu lazima hisia za mapenzi zitamwingia , sasa basi ni kosa kubwa sana kama msichana umempenda kumweka kama rafiki yako pia tafiti nyingi zinaonyesha mwanamke akiwa rafiki yako sana mwishoni utakuwa adui yake mkubwa
''nilikuwa nakuchukulia kama kaka yangu''
 
dah sio uzembe ndugu yangu muda wote alikuwa katika mahusiano nikaogopa kumkwapua
Unataka wa kwako? Kwa umri wako lazima ukwapue wa mtu ilimradi si mke wake wa ndoa. Hutopata mwanamke asiye na mtu labda uende primary school nako jiandae na 30 yrs
 
Sjawahi sikia Ruban..malala hoi../ hiyo ni bidhaa adimu hata kuisomea hafu..daaa^ ! Kwahyo anazidiwa na driva hiace?
 
wakuu msinikatishe moyo, japo nipeni mawazo
Tatizo lako ni moja tu, umemfanya ashikirie ulimwengu wako na hakika atakunyanyasa. Mimi nina rafiki yangu wa kiume tena mda mrefu tu, lakini ana miaka mi3 sasa anataka uhusiano nami lakini ndo kwanza sina habari nae. Namwona ni rafiki yangu tu, hisia kwake sina kabisaa.

Usilazimishe ng'ombe kunywa maji.
Hakupendi bas mwache tu, wapo wengi wana akili kichwani kama mimi vile, na wengine weeeeeeengi.

Fungua macho yako yaone kwingine, ruhusu moyo wako kuangalia fulsa nyingine zilizopo chini ya jua, usiufungie moyo wako ndani.

Halafu khs kutokuwa na tamaa, usiseme hana tamaa wakati anavyo. Tamaa itatoka wapi wakati hana shida? Hakuombi hela sababu kwao zipo za kufanyia anachotaka.

Kuwa huru, usijibanebane banebanebanebaneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom