Nahitaji Ushauri hii kwa wanaume wenzangu tu

Nahitaji Ushauri hii kwa wanaume wenzangu tu

Raha ya ngoma uingie ndani ucheze. Hujui kwanini hao wanaume wanamkataa lazima kuna kitu. Hamna mwanaume asiyependa mwanamke mzuri kiakili
hawakumkataa wote waliachana mutually.. wa kwanza alimkimbia baada ya kupigwa wa pili ndo huyo alikuwa malaya sana wakaachana baada kugundua nilichomwabia kilikuwa kweli.
 
wakuu msinikatishe moyo, japo nipeni mawazo
 
Du pole mkal sema nn uzembe wako mwenyewe huwez ukaish miaka 5 na mtu Alf unahisia naye usimwambie ko kwa namna moja ama nyingine Usha chelewa bro
 
aahaaaa nitafanya hili hakika .ahsante mkuu
jaribu kutafuta udhaif wake ndipo utampata kirahs kwan kila binadam ana udhaif wake ktk kuwa na mahusiano.... chunguza aliwapendea nini hao walopita nawe umekosa nini ambacho wao walikuwa navyo nawe huna. Pesa si kitu ktk mapenzi ila mshawishi kwa udhaif wake na kuwa mvumilivu ipo siku atajua yup ni mkwel kwake..
 
Usilazimishe mapenzi, tafuta atakayekuelewa na kukupenda unaweza ukawa umeoza kwa huyo dem kumbe kuna dem flani somewhere naye kaonza kwako.
 
Da kila mtu na mbinu zake…… sasa jamaa ulikuwa unamponda wa nini badala ya kueleza yako…… huyo rubani unayemwita mlala hoi ni rubani wa ndege ama guta??
 
Ninachoona kwako ni lack of confidence (na Kama binti ni mjanja Kama ulivyosema ameliona hilo) na mabinti wajanja hawapendi mwanaume ambaye hajiamini So gain your confidence and tell her what you feel. And be honest kumbuka kuwa mnafahamiana na anakufaham vema
 
..dogo acha kudhani hela itakusaidia acha kudhani kutukuza mwanamke ndo utapendwa nakupa mtihani mdg km utaweza unaweza mpata jaribu kumtreat as if huwezi kua nae yaan km umeona kademu fln hv ka baya ambcho yaan upo nacho km rafiki lkn kamwe huwezi kua nacho do that with confidence no favour,giver her a gift of missin you,no gifts,disagree most of time,no kumsifia,no talkin about her relationship,no smile hovyo,show her tht you stop loving her completely,say no 75% of time....angalau hapo ataanza kukuangalia kwa jicho la mahaba be unpredictable
 
We wa ajabu...unajaribukumpata kwa kumchafua mwenzio...wanaume hatufanyagi hivo....we ulikuwa mzembe tu kumuambia ....na hata kama unajua ana mtu we ingia kivyako bila huyo mtu kumtaja
Ushauri mzuri sana na uwe somo kwake.

Pili, inaonyesha uko desperate kumpata na hutompata ukiendelea hivyo. Desperation kwa watu walioko focused inanuswa haraka sana. Ninachoona ni kwanza ujaribu kumsahau, yaani ishi maisha yako na mpaka hapa uchukulie umemkosa na akirudi bahati.

Tatu, huyu mwanamke kwa jinsi unavyomsifia inaonekana hujaona kasoro zake, na atakuja kukusumbua sana hutoamini kwani yatayofuata kwako haukuyategemea.

Ishi maisha yako na uache kumfatilia. Hajaona dunia vizuri kutulia ni ngumu.
 
Da kila mtu na mbinu zake…… sasa jamaa ulikuwa unamponda wa nini badala ya kueleza yako…… huyo ni rubani unayemwita mlala hoi ni rubani wa ndege ama guta??
wa ndege ila hivi vindege vidogo dogo ni kijana mdogo sana hafiki 30 nimemzidi sana umri mpaka wazazi wake nawajua mtoto wa kinondoni tu
 
wakuu msinikatishe moyo, japo nipeni mawazo
Sasa wewe umepata bahati ya mtende humu humu jukwaani,huyo demu anaitwa Miss Natafuta kakupanulia wazi wazi,yaani ni kuchomeka pipe mdogo mdogo tu,mpaka anakuwa mkeo,na yeye ukimpapasapapasa kama siagi atakubwaga uje humu tena unali,changamkia huyo mrembo kabla hajaingiwa na pepo la kukataa,usilaze damu,piga fasta halafu mambo mengine polepole.
 
Ushauri mzuri sana na uwe somo kwake.

Pili, inaonyesha uko desperate kumpata na hutompata ukiendelea hivyo. Desperation kwa watu walioko focused inanuswa haraka sana. Ninachoona ni kwanza ujaribu kumsahau, yaani ishi maisha yako na mpaka hapa uchukulie umemkosa na akirudi bahati.

Tatu, huyu mwanamke kwa jinsi unavyomsifia inaonekana hujaona kasoro zake, na atakuja kukusumbua sana hutoamini kwani yatayofuata kwako haukuyategemea.

Ishi maisha yako na uache kumfatilia. Hajaona dunia vizuri kutulia ni ngumu.
kasoro anazo, ila sio za kutisha, bado anakuwa na ni mdogo nimempita 10 years kama sikosei ana decisions za kitoto muda mwingine ila nimemzidi sana umri vinarekebishika maan sehemu nyingi za biashara yake nimekuwa mshauri wake mkubwa
 
Du pole mkal sema nn uzembe wako mwenyewe huwez ukaish miaka 5 na mtu Alf unahisia naye usimwambie ko kwa namna moja ama nyingine Usha chelewa bro
dah sio uzembe ndugu yangu muda wote alikuwa katika mahusiano nikaogopa kumkwapua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom