Nahitaji Truck /15ton long base /3M tshs, kupeleka mzigo Kigoma

rakeyescarl

JF-Expert Member
Dec 9, 2007
481
145
Wakuu salaam,
Nahitaji truck long base kubeba mzigo wa 1 ton,mrefu kama 25metres, kwenda Kigoma una uzito wa 1ton,uwezo wangu ni kulipia shilingi million 3 za kitanzania .Mzigo unatakiwa kuondoka muda wowote kuanzia leo ni PM au email rakeyescarl@yahoo.ie
Rakey
 
Ni mzigo gani huo? unahitaji Box body yaani truck iliyofungwa au la wazi?
 
Wakuu salaam,
Nahitaji truck long base kubeba mzigo wa 1 ton,mrefu kama 25metres, kwenda Kigoma una uzito wa 1ton,uwezo wangu ni kulipia shilingi million 3 za kitanzania .Mzigo unatakiwa kuondoka muda wowote kuanzia leo ni PM au email rakeyescarl@yahoo.ie
Rakey

Mkuu gari ya kubeba mzigo wenye urefu wa 25mtrs hauwezi pata, labda kama unaweza kuutenganisha huo mzigo, kwa ujumla maelezo yako hayajitoshelezi, tunafanya hizo kazi za kusafirisha mizigo mbalimbali ndani na nje ya nchi,
Wasiliana nasi; 255 688 339 988
 
Wakuu salaam,
Nahitaji truck long base kubeba mzigo wa 1 ton,mrefu kama 25metres, kwenda Kigoma una uzito wa 1ton,uwezo wangu ni kulipia shilingi million 3 za kitanzania .Mzigo unatakiwa kuondoka muda wowote kuanzia leo ni PM au email rakeyescarl@yahoo.ie
Rakey
Kaka, mzigo una urefu wa mita 25? .....dah! Unasafirisha boti nn!
 
Mzigo upi huo? Usije kuwaingiza watu mkenge kumbe ni maguruneti au pembe za ndovu mtu akataifishwa truck yake bure au ukawa ni mchongo wako kuwaingiza watu choo cha kike,weka wazi mzigo gani huo wa tani uno?
 
Dar kigoma ni km 1470 kwa M3 ni hela ya mafuta kwa gari unayotaka ipakie mzigo wako wa 15Ton,bei ya kigoma ni 200,000 per ton,napenda ujue kuwa mzigo ukishapakia dsm hauwezi kuongeza mwingine njiani kulingana na halivyobadilika kwahiyo ni hasara
 
Nawashukuru wote waliotoa michango yao, mzigo ni boat ya maximum 700Kg inatoka DSM-Kigoma.
Ndg anaye charge 200,000/ton kama kitu hakifiki tonnage inakuwaje?
Any truck body is OK,boat ziko insured.tunajaribisha moja kwanza ikifika ndio tupeleke nyingine.
Deadline bado kidogo.Mimi sijui bei za mafuta lakini mwenye truck akiniambia truck yake ina uwezo gani na maximum ni kiasi gani naweza kumpeleka akaingalia boat kwanza.
Asante kwa majibu wote.
 
bei ya chini kwenda kighoma ni mil 4.8 chini ya hela yote inaishia kwenye mafuta na matrafik
 
Nawashukuru wote waliotoa michango yao, mzigo ni boat ya maximum 700Kg inatoka DSM-Kigoma.
Ndg anaye charge 200,000/ton kama kitu hakifiki tonnage inakuwaje?
Any truck body is OK,boat ziko insured.tunajaribisha moja kwanza ikifika ndio tupeleke nyingine.
Deadline bado kidogo.Mimi sijui bei za mafuta lakini mwenye truck akiniambia truck yake ina uwezo gani na maximum ni kiasi gani naweza kumpeleka akaingalia boat kwanza.
Asante kwa majibu wote.

Tuwasiliane, nitakupelekea mzigo wako kwa 6.2m
 
Back
Top Bottom