Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu.
Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet
Isiwe nzito
Any recomendation?
Nunua kindle, ni nzuri kwa ajili ya kusomea vitabu
Vinapatikana Wapi!? Kwa hapa Bongo!????
Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu.
Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet
Isiwe nzito
Any recomendation?
Nunua kindle, ni nzuri kwa ajili ya kusomea vitabu
naongezea tu inaitwa kindle 6 kioo chake ni kile cha black an white (e ink) hakiumizi macho sana sababu feel yake ni kama karatasi.
kinakaa na chaji mwezi mzima na kinaingia vitabu around 1,000
ni chepesi kina wifi na bei ni dola 70.
Vinapatikana Wapi!? Kwa hapa Bongo!????
Bongo utazunguka sana agizia online
Nimepata yote mkuu, natumia paperwrite kindle ni nzuri, shida yangu ilikuwa ni kwa kusomea vitabu tu na si vinginevyo
Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu.
Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet
Isiwe nzito
Any recomendation?
Nunua lenovo yoga tablet. Inakaa na chaji kwa masaa 18 na ni multi mode. Utafurahi
Nahitaji Tablet iwe special kwa ajili ya kusomea novels tu.
Isiwe kubwa sana, iwe ndogo kama phablet
Isiwe nzito
Any recomendation?
Kuna jamaa anazo Kindle alitoka nazo Marekani, kama bado unahitaji niambie nijuelekeze.
Nielimishe mkuu,nina samsung tab 2 7.0 ina mapungufu gani kwa hiyo Kindle?