Waheshimiwa bahati mbaya nimepoteza simu yangu....hivyo naitaji smartphone ya kuweza kuipata week hii inayyoanza.
Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechakaa au mikwaruzo.
Bajeti yangu ni 100,000 - 120,000 inategemea na simu yako.
Aliyetayari anipe namba nimtafute au aniPm tukubaliane.
Nipo Dsm.