Nahitaji Small Mining Air Compressor

lwidia2k

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
616
1,267
Wadau wa JF, amani na upendo uwe Nanyi!

Nimekuja kwenu nikiwa nahitaji Compressor Mashine kwa ajili ya kutobolea mawe (drilling) ambayo baadae nitayavunja kwa baruti Kisha kuyauza kwa wateja. Bajeti niliyokua nayo ni milioni 11 net.

Je, naweza kupata kwa bajeti ya pesa hiyo? Kwa mwenye ujuzi naomba ushauri na msaada wa mawazo. Maana life kitaa sio poa, pia nataka niwekeze kwenye huo mradi.

tapatalk_1583255070101.jpeg
tapatalk_1583255060631.jpeg
tapatalk_1583255041245.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom